Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,646
Mkuu barafu huwa ninakuheshimu sana wewe si mtu wa mchezo mchezo
HUYU ANAFAA SANA KUWA MKUU WA MKOA WA DSM
Daaah kweli urais unazeesha... Mcheki akiwa anasaka wadhamini alivyokuwa handsome...
Enzi hizo maskani yake na watoto wa mjini pale Rose Garden..
Mkuu hapo uchochezi wangu ni upi sasa??UCHOCHEZI HUO SHAURI LAKO
ubunifu upi wakati anaiga pozi la mtu mwingine..hahahhahahah.......Kasesera ni mbunifu mno
Hakuna ubuni zaidi ya ujinga.ubunifu upi wakati anaiga pozi la mtu mwingine..
Mwanaume kumwambia mwanaume mwenzio "Handsome" wewe ni chakula.... na anae ona hakuna tatizo nae n chakula vile vileMwenyewe unajiona umeongea kitu maana
hata hivyo JK umri umeenda lakini bado ana mwili mzuri sanaDaaah kweli urais unazeesha... Mcheki akiwa anasaka wadhamini alivyokuwa handsome...
Enzi hizo maskani yake na watoto wa mjini pale Rose Garden..
Kwa watu wanaomfahamu Richard hii sio kitu cha ajabu. Ni mcheshi na anapenda utani. Probably hata hiyo picha alipiga kwa kusudi hilo (Utani). Kwa kifupi ni mtu wa watu,wanaomfahamu wanatambua hilo mkuu.Kwa vichekesho anawazidi wakuu wa wilaya wengi ni mtu wa kupenda comedy sana akiwa iringa hupenda kukaa na watu akitaniana nao na kuwachekesha.