Wakuu,
Ila CCM hakuna kama nyinyi dunianiš¤£š¤£š:
DC Abdallah anasema wanafunzi wa vyuo wameomba bonanza kumshukuru Rais Samia kwa kufanya maisha yao vyuoni kuwa bora, na hawa ni wanafunzi wote wote, kwakuwa ni wengi sana basi wamewakilishwa na wenzao wachache kwenye hilo Samia Uni Bonanza huko Mtwaraš¤¦āāļøš¤¦āāļø.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Bonanza hilo pia limesemwa ni kwaajili ya kuwashawishi vijana kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa lakini ajabu wote wanaambiwa wachague CCM wachague Samia .
Hakika mbinu na maneno haya siyo mageni kwetu!
Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025