DC Mnyeti ataka waandishi wa habari wapigwe

Hivi urafiki wa Magu na Kagame kumbe kuifanya tanzania kuwa kama Rwanda ya miaka ya intarahamwe?

Ndukiiiii
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani hebu wekeni picha ya huyu dc maana namskia tu kwenye bomba anatikisa lakini simjui. Asije kuwa nae ni bashite..... picha tafadhali
Aliteuliwa kutoka kuwa mkuu wa shule ya sekondari iliyoko huko mwanza ,wilaya ya misungwi shule inatwa igokele sec school akapewa ukuu wa wilaya ilikuwa from zero to hero.
 
Jamani hebu wekeni picha ya huyu dc maana namskia tu kwenye bomba anatikisa lakini simjui. Asije kuwa nae ni bashite..... picha tafadhali
ae63e71f0f30d32f8933d3dd12a43cc6.jpg
 
Tunataka viwanda sio kelele za wehu kama huyo DC..kiongozi mwenye akili timamu na kujitambua hawezi kuongea ujinga kama huo
 
Back
Top Bottom