Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,623
- 103,488
Sasa kwakuwa Magufuli kasema mwenyewe anasoma JF muelezeni hapa hapa ukweli ni upi na nani ni tatizo nadhani ndilo jambo la msingi na kulitendea haki jukwaa, tuache kujadili kishambenga.Ni kweli lakini kwa hizi fitna zilizoanza lazima mmoja achomolewe hapa Dar.