Dawa ya Utando Mweupe kwenye ulimi wa mtoto

Saa nyngne sio kila HURUMA inafaa, kama mtoto inabidi sindano au dawa chungu ukiendekeza huruma utakuwa humsaidii.
Nafikiri mpk kufikia ulimi kuweka utando tayari kuna shida mwilini...sasa kusugua ndio huo ugonjwa unaondoka mwilini??
 
Mkuu kwanza huo mti wenyewe sijaujua....alafu umsugua mtoto kwel....hapana!!
Kama mtoto ananyonya halalamiki maumivu Iyo ni hali Ya kawaida sana maziwa huganda kwenye ulimi ... Iyo hali huisha pole pole... Nina watoto wa 3 nina experience
 
Kama mtoto ananyonya halalamiki maumivu Iyo ni hali Ya kawaida sana maziwa huganda kwenye ulimi ... Iyo hali huisha pole pole... Nina watoto wa 3 nina experience
sometimes kukimbilia kumpa mtoto madawa sio kabisa...nilitaka mawazo kama haya ya watu ambao wame experience hili tatizo..asante SIERA
 
Ahsante sana. Huruma haina jinsia. Ila tunatofautiana namna ya kuonyesha. Hujaona wanawake wanatupa watoto kwenye majalala na wanaume wanaokatakata mapanga wake na watoto wao?

Sawa mkuu lkn hii dawa niliyomweleza inasaidia sana pia wakati wa kusugua ulimi wa mtoto lazima mtoto analia sana sasa km maelekezo tu mnaogopa je nikiwapa dawa si itaozea ndani
 
Sawa mkuu lkn hii dawa niliyomweleza inasaidia sana pia wakati wa kusugua ulimi wa mtoto lazima mtoto analia sana sasa km maelekezo tu mnaogopa je nikiwapa dawa si itaozea ndani

Sasa kumsugua mtoto wa miezi mitatu ulimi hadi analia sana!, kwa kweli hatutampa. Ahsante.
 
Aya mpeni ya kunywa

Mkuu, ya kwako kwa huu ugonjwa wa mtoto huyu, imeishia hapa. Sasa huna tena uwanja wa kutuchagulia ipi apewe!.
Waache wawaone wataalamu watawpa ushauri wa kitaalam. Hyo dawa ya kusugua, ulimi wa mtoto mchanga hapana. Na isitoshe utamfanyaje ili asimeze?

Tatadhali naomba tuungane na wenzetu kutafuta the best option kwa afya ya mtoto. Kinyongo weka kando. Lengo ni zuri. Wapo wakubwa wana fungus midomoni nazo zinafanyaga meupe, uanweza kuongea nao pia ukafanya nao biashara. Kwa mtoto tumeamua kutafuta dawa nyingine tena kwa amani. Usichukie mjomba!
 
Habari Wakuu,
Nina mtoto wa miezi 3...ana utando mweupe kwenye ulimi wake kama maziwa hivi....tumempeleka Hospital amepewa Dawa but hauishi.
unamsafishaga mwanao ulimi?

unachukua either gauze safi au nepi laini, unashika na kidole, unachovya kwenye maji ya vugu vugu unamfuta ulimi kwa mwendo wa duara ili usimtapishe. angalau Mara moja kwa siku. au baada ya siku kadhaa baada ya utando kukoza

wamama hawawasafishagi watoto ulimi hadi ukimbeba mtoto akifungua mdomo anatoa harufu.
 
Pole sana Mkuu nilifikiri ni ule utando unaoshika ulimi kwa chini ambao husababisha mtoto ashindwe kuongea kama hautakatwa utotoni kwani ningekuambia nini cha kufanya. Watoto wana mitihani sana hadi wanakua
 
katoto kadogo sana dawa nayoijua haitomsaidia ...ila itaisha tu machungwa yanasaidia sana sasa mtoto miezi mitatu si wa kunyonya tu?
 
unamsafishaga mwanao ulimi?

unachukua either gauze safi au nepi laini, unashika na kidole, unachovya kwenye maji ya vugu vugu unamfuta ulimi kwa mwendo wa duara ili usimtapishe. angalau Mara moja kwa siku. au baada ya siku kadhaa baada ya utando kukoza

wamama hawawasafishagi watoto ulimi hadi ukimbeba mtoto akifungua mdomo anatoa harufu.
housegirl mtoto miezi mitatu unamsafisha jamani?
 
housegirl mtoto miezi mitatu unamsafisha jamani?
ndio.
hata watoto wana wadudu mdomoni.

.kwanza mataalam wanasema wanapaswa kusafishwa kila baada ya kunyonyeshwa, hadi kwenye fizi na mashavu ndani.
sema inakuwa kazi kwa mama so angalau Mara moja kwa siku..
 
Habari Wakuu,
Nina mtoto wa miezi 3...ana utando mweupe kwenye ulimi wake kama maziwa hivi....tumempeleka Hospital amepewa Dawa but hauishi.

And sometimes akicheua huwa anacheua maziwa mengi sana kama ametaapika hivi na siyo kwa mara moja tu.

Najua huku kuna watu wazima na Madaktari huwa wanapita huku....Pls nisaidie kama unajua dawa yake....Thanks!!!!

Mkuu hio kitu pia ilimtokea mwanangu nikaogopa sana ila baada ya kuwauliza wazee home wakaniambia kawaida tu chukua maji ya vuguvugu na kitambaa safu umuingize kinywani umsafishe na kidole nikafanya hivyo ya ukaisha..... Ni uchafu wa kawaida tu
 
Kaka nimekua naona kijijini kwetu madogo wanatibiwa kwa dawa za kienyeji kuna mti flani hivi sijui kwa Kiswahili unaitwaje, ule ndo naonaga wanavunja tawi lake then Yale maji maji yake yanatumiwa kusafisha ulimi wa mtoto kwa kusugua na kidole chako mpaka ule utando mweupe wote unatoka, sasa sijui km unaweza kukubali kumtibu mwanao kwa dawa za asili.
Yanaitwa makalekale
 
Back
Top Bottom