Kamuone specialist wa magonjwa ya watoto mkuu, ila kwa kiasi kikubwa utaambiwa ni fungus anapata kwa nyonyo ya mama au kama mnampa ile midude ya kunyonyanyonya...!Habari Wakuu,
Nina mtoto wa miezi 3...ana utando mweupe kwenye ulimi wake kama maziwa hivi....tumempeleka Hospital amepewa Dawa but hauishi....and sometimes akicheua huwa anacheua maziwa mengi sana kama ametaapika hivi...na sio kwa mara moja tu....najua huku kuna watu wazima na Madaktari huwa wanapita huku....pls nisaidie kama unajua dawa yake....Thanks!!!!
Mkuu mtoto wa miezi 3 alambishwe asali?Wakati huo unamtafuta specialist wa watoto jaribu kumlambisha ASALI MBICHI kama utaipata mkuu
Mkuu mimi wa kwangu hua anaitumia na inamsaidiaMkuu mtoto wa miezi 3 alambishwe asali?
Ni bola tu jamaa amuone specialist aisee
Kaka asali ni hatari sana kwa mtoto mdogo kama huyu, mumeng'enyo wake ni mgumu kushinda mfumo wa mumeng'enyo wa mtoto haishauriwi mtoto mdogo kupewa asali.Wakati huo unamtafuta specialist wa watoto jaribu kumlambisha ASALI MBICHI kama utaipata mkuu
Nashukru kwa ushauri wako mkuu nitaufanyia kaziKaka asali ni hatari sana kwa mtoto mdogo kama huyu, mumeng'enyo wake ni mgumu kushinda mfumo wa mumeng'enyo wa mtoto haishauriwi mtoto mdogo kupewa asali.
Naona kama ana thrush....
Iyo kawaida mno wala usiangaike inaisha yenyewe anavyoendelea kukuaHabari Wakuu,
Nina mtoto wa miezi 3...ana utando mweupe kwenye ulimi wake kama maziwa hivi....tumempeleka Hospital amepewa Dawa but hauishi....and sometimes akicheua huwa anacheua maziwa mengi sana kama ametaapika hivi...na sio kwa mara moja tu....najua huku kuna watu wazima na Madaktari huwa wanapita huku....pls nisaidie kama unajua dawa yake....Thanks!!!!
Kaka nimekua naona kijijini kwetu madogo wanatibiwa kwa dawa za kienyeji kuna mti flani hivi sijui kwa Kiswahili unaitwaje, ule ndo naonaga wanavunja tawi lake then Yale maji maji yake yanatumiwa kusafisha ulimi wa mtoto kwa kusugua na kidole chako mpaka ule utando mweupe wote unatoka, sasa sijui km unaweza kukubali kumtibu mwanao kwa dawa za asili.
dawa sikumbuki jina..nilipoona haimsaidii niliitupa....Nystatin Oral Susp ni sawa, labda kama tungejua alipewa dawa gani awali.
Mkuu kwanza huo mti wenyewe sijaujua....alafu umsugua mtoto kwel....hapana!!Hapana hatakubali. Asugue ulimi wa mtoto wa miezi mitatu!. Hapa hapana. Bila shaka amekataa. ushauri mwingine?
Hapana hatakubali. Asugue ulimi wa mtoto wa miezi mitatu!. Hapa hapana. Bila shaka amekataa. ushauri mwingine?
Sorry ww ni Ke au Me?
Maana naona unakua na huruma sana
Sorry ww ni Ke au Me?
Maana naona unakua na huruma sana