Dawa ya wadudu wanaokula mbao ni ipi?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
13,962
35,089
Habari wana JF
Nimetoka kumtembelea ndugu yangu kwa bahati mbaya dari lake lina shambuliwa na mdudu ambaye anapiga kelele kama msumeno. Nilishtuka kidogo na huyo mdudu naambiwa anachoronga mbao within short time unakuta unga unga hivi. Je dawa ya huyo mdudu ni ipi, tafadhali hili ni jambo la kufa na kupona.
 
Mkuu,
Kojolea mkojo!
 
Mtakuwa Mmejengea kwa Mbao za Kula... sasa Mdudu ataachaje Kula...

Wekeni Mininga au Milingoti hailiki even Mchwa wanavunja tu meno yao

Kwenye Matundu mule pulizia dawa ya Mbu kisha ziba vitundu kwa Chelewa au kijiti kigumu Mdudu hufia humo humo kila ukisia mlio Tafuta vitundu Pulizia spray ya Mbu Dudu Killer
 
Mbao za kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wallah kama leo ningepata mgeni ningejua ni wewe.
Mimi najua ndo mchwa kumbe si hao, wakianza kula utafkiri wanasaga mahindi mashineni yaani hao wadudu ni noma, wanapiga kelele sana ,chumba kimoja wametafuna mbao mpaka wameangusha gypsum, chumba kingine mlango wa chooni ukiugonga hivi unatoka unga unga na ni mwepesi sana na umeshatoka, chumba kingine mlango umeliwa sehemu ya kati.
Nasubiri dawa na mie.
 
Aisee, sasa mkuu uliezekaje kwa mbao za kuundia penseli??? Paa litaanguka likufunike ukiwa ndani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkorinto huwezi amini hii nyumba imenizidi umri penye matatizo hayo ni nyumba ndogo ya uani nafikiri mjengaji alichakachua kuna mdau kasema mafuta ya taa nitajaribu

Ulijaribu kupaka mafuta ya taa au diesel? Inadhibiti kweli?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom