Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 93,260
- 113,113
AjiombeeAnahitaji maombi.(deliverance )
AjiombeeAnahitaji maombi.(deliverance )
Nimekusoma kabisa,kwanza tusikimbilie PPP kitu ambacho ni theoretically success inawezekana but practically failure chances ni kubwa mno.Well said. Mambo yatakuwa sawa PPP hapa kwetu baada ya kuwang'oa wote tuliowapa dhamana na kuwatia gerezani au kuwanyonga kabisa.Maendelea ni lazima maamuzi magumu yafanyike.
Magugu kwenye mpunga ni kuvyonza tu,swala la kujitambua halipo. Ng'oa teketeza kabisa.Nimekusoma kabisa,kwanza tusikimbilie PPP kitu ambacho ni theoretically success inawezekana but practically failure chances ni kubwa mno.
Pili bado sisi kama taifa mara nyingi tumeangushwa na hao wachache professionals tuliowaamini.
Nadhani tunasafari ndefu ya kujitambua kama taifa.
Mkuu Kafulila ni mtu mmoja tu vis aggressive bandidos.Tuna imani kubwa sana na Mheshimiwa David Kafulila kutokana na uadilifu na uzalendo alionao. Mheshimiwa Kafulia ana uzoefu wa kusimamia mabilioni ya pesa na mikataba Mikubwa kwa uzalendo na uadilifu mkubwa kwa maslahi mapana ya nchi na ustawi wa wananchi.
Mkuu wajinga ndio waliwao,lakini Wahaya wana msemo kwa tafsiri isiyo rasmi kuwa utauliza njia unapokwenda huko lakini si unaporudi.Magugu kwenye mpunga ni kuvyonza tu,swala la kujitambua halipo. Ng'oa teketeza kabisa.
Asante mkuu. Hiyo njia utamuuliza nani na utapitaje wakati magugu yamefunga njia?Mkuu wajinga ndio waliwao,lakini Wahaya wana msemo kwa tafsiri isiyo rasmi kuwa utauliza njia unapokwenda huko lakini si unaporudi.
Nasi kama binadamu hatutaki kurudia ushenzi wa ujima tuliopobikizwa na mafisadi papa wakati wa sera ya privatization enzi za Raisi Benjamin Mkapa.
Kama taifa tumepitia manyanyaso,ulaghai,ufisadi,utapeli wa kiuchumi.
Kama serikali ina nia nzuri basi wajikite kwenye ukweli na uwazi sio mikataba ya siri.Siri ni sumu kali.
Easy pickingsUnajua hata IPTL na mikataba mingine mibovu ilikuwa inaelezwa hivi hivi kwa lugha nzuri za kupamba.... Kumbe ni wizi mtupu.... Hapa naona kama Kafulila anatupanga....