David Kafulila: Kwenye azimio la Dar es salaam, Rais Samia atatumia Tsh. Trilioni 33 kusambaza nishati safi ambapo Tsh. Trilioni 13 zitatoka PPP

===
Akihojiwa na kituo cha utangazaji Cha ITV kwenye kipindi ya DK 45 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amefafanua haya "Kuhusu mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kutumia Sh trilioni 33 sawa na $13bn kuwekeza kwenye nishati safi kati ya pesa hizo kiasi cha $5bn karibu TZS 13 Trilioni sawa 40% zitatoka sekta binafsi,PPP "

Kafulila amesema upatikanaji wa nishati safi kwa Watanzania hao 80% aliowalenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kutachochea maendeleo ya Viwanda na kupunguza gharama za uzalishaji na hivyo kuleta nafuu ya maisha kwa walaji wa mwisho ambao ni Wananchi,

Kafulila amesifu juhudi za Serikali ya awamu ya Sita ( 6 ) chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha Bwana la Mwl Nyerere (JNHPP) kwani limechochea upatikanaji wa Umeme wa uhakika na wa ziada na hivyo kufikia mwaka 2030 kwa kuingiza bajeti ya $13bn kama alivyoazimia Rais Samia Suluhu kwenye azimio la Dar es salaam Tanzania itakuwa na Umeme wa uhakika zaidi ifikapo mwaka 2030.

Sasa hebu Msikilize Kafulila wewe mwenyewe

View attachment 3226422
Awamu ya Mama Samia pesa ipo kwelikweli ila hii Mikopo Taifa litasalimika?
 
Hii ni sawa kabisa miti inakwisha matokeo mvua zitagoma kabisa
 
Tunazisubiri hapa Mwamagembe
 
Ngoja tuone
 
Sawa
 
Back
Top Bottom