David Kafulila: Kwenye azimio la Dar es salaam, Rais Samia atatumia Tsh. Trilioni 33 kusambaza nishati safi ambapo Tsh. Trilioni 13 zitatoka PPP

Nasubiri ufafanuzi wa hoja
 
Kafulila kawa dalali wa Ikulu
 
mnaonaje kama mkiwa mnakuja public muwe mnatumia past tense badala ya future tense.Badala ya atatumia muwe mnasema ametumia at least mkiwa na evidence to back you tunaweza kuwaelewa vizuri vinginevyo ninyi ni was**** tu
 

UTANGULIZI tu unienipa kichefuchefu hata nimeonelea nisipoteze data yangu kusikikiza.

Muulizeni kafulila na masisism.

tri 13 hizi zitalazowekezwa dar zitaleta uwekezaji wowote ktk product zitazotumika ktk uwekezaji huo, au kutakuwa ni chanzo cha any production of goods nchini ili kuongeza ajira zitakazotokana na uzalishaji wa ndani endelevu na kuongeza ajira au tutaendelea kununua bidhaa zilizozalshwa na Wamachinga wa nchi nyingine.

Ili vijana wa tz tujikomboe tunahitaji viongozi wenye vision ya kushawishi uzalishaji wa bidhaa ndani ya nchi badala ya kuegemea kwenye impotation.

13 tri zinaweza kutengeza ajira zaidi ya 10k iwapo mtaji huo ungewelezea ktk kuzalisha bidhaa zenye mahitaji ya kila mwaka kama kutengeza Viatu vya wanafunzi nchini, mabegi, penseli, daftari, mikanda, charger, cover, soli.

Unaumiza kuona watoto 90% wa kijijini kwangu wakivaa bajaj huku tz ikihesabika kuwa ni nchi inayoongoza kuwa na ng'ombe wengi.

Inashangaza.

Inahsangaza kuona kule India vifaa vingi vinatemgezwa na Wamachinga wa kihindi na tz kuna kuwa ni soko lao.

Kuna mifano mingi tu kwa YouTube.
 
Sawa ila ghafla sana, Angewapa muda watu wajiandae
Hahaha Mkuu.

Ukiwa na nyumba na ukajua njia ambayo panya wanatumia kuingilia kwako na kufanya uharibifu ukishaijua hutakiwi kufanya maamuzi mara mbili mbili namna ya kuifunga.
 
Mkuu nijuavyo mimi uwekezaji wowote lazima utengeneze ajira,

Tena kwa maoni yangu itakuwa ni zaidi ya ajira hizo 10k ulizozisema,

Nia ya Rais Samia ni kufanya yote yaani kupunguza jangwa na kutoa ajira kwa watu wake
 
Hahaha Mkuu.

Ukiwa na nyumba na ukajua njia ambayo panya wanatumia kuingilia kwako na kufanya uharibifu ukishaijua hutakiwi kufanya maamuzi mara mbili mbili namna ya kuifunga.
Kwanini ufurahie mateso ya Watanzania?
Wewe uko nchi gani?
ARVS zikikosekana watu wengi watakufa,

Ndg zako pia watakufa
 
Kwanini ufurahie mateso ya Watanzania?
Wewe uko nchi gani?
ARVS zikikosekana watu wengi watakufa,

Ndg zako pia watakufa
Sifurahishwi kivyovyote na hizo issues za kusitisha huduma muhimu haswa za vidonge, nina ndugu wengi wanaishi zaidi ya miaka 20 sasa kwa support ya ARV.

Hivi unafahamu kuwa kenya na baadhi ya nchi Afrika wao wanazalisha hizi dawa toka nchini mwao.?

Je miaka yote hii tumeshindwa kuwekeza kwenye research za kutosha ili walau kununua kibali cha kuzalisha.?

Ukiwa Tanzania na ukaona vile ambavyo pesa nyingi haitimiki kwenye mambo yenye tija kwa maisha halisi ya wa Tanzania utaafikiana na hii issue ya Trump.

Tunatakiwa kujifunza wapi tunakosea kama Taifa ambalo lina miaka 63 mwezi mmoja na siku 27, na kisha tukubali na tuamue kuanza upya kujifunza kujitegemea kwa kuanza kufanya maboreshe yamsingi ya vile tunatakiwa kutumia rasilimali tulizo nazo(Kama tunaendelea kuwa na poor allocation ya resources na kuhakikishia tuatendelea kuwa kituko kwa vizazi vyetu zijavo)
 


Kama Export zimeongezeka hili ni jambo jema kwa Uchumi wa Taifa letu,

Hapa ni kabla ya Ongezeko hilo la nishati ambalo tunaamini litafungua milango ya Viwanda vingi huko kwenye Kata na Willayani,

Hizi pesa ni sahihi kwa muda sahihi Cha msingi mama achaguliwe tena ili ayafanye haya yeye mwenyewe
 
Nadhani kuanzisha kiwanda Cha ARVs sio jambo gumu labda tulikosa utashi Kwakuwa tulizipewa bure,

Usisahau pia wakati wote tunajifunza kutoka na makosa,

Lakini hili la Trump si la kufurahiwa hata mara moja,
 
Naweza kupata hilo azimio na Mimi nilisome?
 
Huna hoja kabisa ndg yangu
 
Kwa Kafulila Upinzani tulipoteza mtu muhimu sana
 
Siasa hizi, nishati safi yenyewe isije kuwa kila mtanzania akapewa mtumgi wa gesi bure.

Mkwerw alisema gesi imepatikana mtwara tatizo la umeme ni kwisha kiko wapi,
Usimuamini mwanasiasa, hata kama akikwambia nje kuna mvua na we unaisikia kwenye bati, toka nje uone, pengine anamwaga mchanga ama kaita fire wamwage maji kwenye bati lako.

Huyu kafulila ndio muda wake huu kupiga pesa zetu.
 
Kafulila kawa dalali wa Ikulu
Tatizo la jamaa ni mkweli sana na hana Kona Kona kile anachoamini kinafaida kwa Wananchi anakifanya na kukitetea hata kama umma hautamwelewa kwa haraka tofauti na viongozi wengine wanaosakiziana na kutaka waonekane wema tu kila wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…