Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 25,923
- 19,008
- Thread starter
- #41
Andiko hoja ueleweke unataka nini na unatetea nini na kusimamia nini.Adani. TZ ni kichwa cha mwenda wazimu

Kama DERM ameweza kutengeneza nguzo na kuna kampuni hapa hapa nchini zinatengeneza transforma na nyaya ,kwanini tusiwape hao na serikali iwe inawalipa kidogo kidogo kuliko kwenda kumpa muhindi aliyefukuzwa kenya kuja kutupiga kama HABINDA SINGI?Amechemka vipi ndugu yangu mtanzania.ulitakiwa ueleze kwa hoja. Hata hivyo Mheshimiwa David Kafulila ametoa maelezo yaliyonyooka kabisa na ya kueleweka vyema. amesema kuwa hiyo ni hatua ya awali kabisa ambapo baadaye serikali itakaa na kuchambua maombi yao na kama wanastahili kupewa mradi huo.
Umeme tunaozalisha ni wa ziada hatuhitaji umeme. Tunahitaji mpeleka nguzo mtimbwindi ambako umeme unaingizwa kwa sh 30000..je adani ataweza..au ndio kuchukua kodi na kumpa eye badala ya tanesco.Fursa iliyopo ni umeme wa jua au upepo...Tutashukuru sana wakija kuwekeza kwenye maeneo hayo
Hakuna cha u hapa kazi wala nini.. umenunua gari yako eti.unampa.mwekezaji awesome ankufanyia serviceAcha wanaume wachapakazi wawekeze tupate umeme wa bila tatizo. Hawa Tanesco waliisha oza
Wahindi wanavyopenda kutoa RushwaNdugu zangu Watanzania,
Kampuni mbili kubwa, Adani Group ya India na Gridworks Development Partners LLP ya Uingereza, zimeonesha nia ya kuwekeza katika mradi wa kusafirisha umeme nchini Tanzania kupitia mfumo wa ubia. Mradi huo unalenga kujenga njia za kusafirisha umeme wa juu kwa lengo la kuboresha miundombinu ya nishati nchini Tanzania.
Akizungumza kwa njia ya simu na Jambo TV, David Kafulila, Kamishna wa Ubia wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), amefafanua kuwa utaratibu huo unajulikana kama "expression of interests,"ambapo wawekezaji wanaweza kueleza nia yao ya kuwekeza kwenye miradi kwa kushirikiana na serikali.
"Kampuni (Wawekezaji) mbili ambazo zimeomba kufanya mradi wa kusafirisha umeme kwa utaratibu wa ubia, inaitwa expression of interests yaani kwamba inaruhusu mwekezaji kueleza nia yake ya kuwekeza kwenye mradi fulani katika utaratibu wa ubia na serikali" ameeleza Kafulila.
Kafulila ameeleza zaidi kuwa sheria za ubia nchini Tanzania zinaruhusu kampuni kuwasilisha maombi yao kwa hatua za awali, na serikali inaweza kuamua kuitangaza miradi hiyo kwa kampuni zingine kushindana ili kuhakikisha uwazi na ufanisi. Hivi sasa, Adani na Gridworks ndio kampuni mbili zilizowasilisha maombi ya kuwekeza katika mradi huo wa kusafirisha umeme.
Ameongeza kuwa zipo njia nne zinazotumika kuingia kwenye ubia wa umma na binafsi nchini Tanzania. Njia hizo ni pamoja na serikali kutangaza mradi na kuruhusu ushindani (Solicited), mwekezaji kuomba kuandaa mradi (Unsolicited), serikali kutafuta mwekezaji wa moja kwa moja wa haraka hasa baada ya kuwa tayari imeandaa mradi (Direct Negotiation), na ya utaratibu maalum (Special Arrangement). Katika kesi ya Adani na Gridworks, wameomba kuwekeza kupitia njia ya kusudio la mwekezaji (Unsolicited).
Kafulila amesisitiza kuwa maombi yaliyotolewa na Adani na Gridworks ni hatua ya awali, na michakato ya kuchunguza kama kampuni hizo zina sifa stahiki itaendelea. Serikali kupitia TANESCO itazingatia mahitaji ya mradi huo na kuamua kama kutangaza zabuni kwa kampuni zingine au kuendelea na kati ya waombaji wa sasa.
"Adani ameleta kusudio awekeze, ni hatua ya awali ya kueleza kusudio, na siyo Adani peke yake ambayo imeomba iwekeze, sasa baadaye kwa mujibu wa sheria TANESCO sasa inaweza ikaamua kutangaza na kampuni zote ambazo zinahitaji zikashindana kutegemea mahitaji yake kwa wakati huo. Sasa hiyo iliyofanyika ya Adani na Kampuni nyingine ya Uingereza ya Gridworks Development Partners LLP, ni kampuni mbili ambazo zimeomba kuwekeza, na sheria inawaruhusu kuomba. Sasa ukiomba, ndiyo michakato inaanza ya kama una sifa au hauna sifa", ameeleza Kafulila.
Adani Group, kampuni inayoongozwa na bilionea Gautam Adani, imekuwa ikiongeza uwepo wake katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku Tanzania ikiwa sehemu ya mikakati yao ya kuimarisha miundombinu ya nishati kupitia mradi unaotajwa kuwa na thamani ya takriban dola milioni 900. Tanzania pia iko kwenye mazungumzo na Gridworks Development Partners kuhusu mradi wa dola milioni 300.
Kwa upande wake, Tanzania imeweka kipaumbele katika kuboresha miundombinu ya nishati ili kukidhi mahitaji ya umeme yanayoendelea kuongezeka, hatua inayosaidiwa na miradi kama hii ya ubia. Ushirikiano huu pia ni muhimu kwa kuboresha mfumo wa usafirishaji wa umeme wa juu nchini.View attachment 3116153
Umewahi kupewa rushwa?Wahindi wanavyopenda kutoa Rushwa
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tuNdugu zangu Watanzania,

Nimeshawatumia ujumbe nashangaa kwanini bado hawajarekebisha.Mods warekebishe kichwa cha Uzi ni Kafulila
Sisi tunataka watoa huduma wengi.Ndugu zangu Watanzania,

Ni kiu nzuri uliyonayo.Sisi tunataka watoa huduma wengi.
Waliosema gesi itamaliza kero zote za bajeti wako wapi,walisema mgao wa madini utamaliza kero za bajeti wako wapi wakasema sasa nchi imeingia uchumi wa kati wako wapi.Tuanzie hapa
Sie tumefeli wapi hadi tutake ubia. Maana uzalishaji tumefanikiwa , je usambazaji tunahitaji a comple overhaul ya haraka had tuhitaji usd 900 mio. Je hatuwezi kendal kwa phases na huku tukiendelea kutoa huduma public goos. Hawa jamaa wanaweza kuingia kwenye procurement kama wauzaji tu sio waendeshaji. Imagine nguzo , chuma liganga na cement za nguzo mufindi na transformer kigamboni
Ni kweli nchi ipo uchumi wa kati.Waliosema gesi itamaliza kero zote za bajeti wako wapi,walisema mgao wa madini utamaliza kero za bajeti wako wapi wakasema sasa nchi imeingia uchumi wa kati wako wapi.
Stop deflecting and gaslightingAcha uoga ndugu yangu mtanzania.
Ooh real!Ni kweli nchi ipo uchumi wa kati.
POINTAidani Hawa ndio wametaka Kununua Airport ya Kenya mpaka wakenya waka undergo Strike
Wengi wao wanakuja mikono mitupi. Kisha wanakopa mabenki yetu na eti wanawekezaStop deflecting and gaslighting
Usilazimishe kuwa nimeandika kwa hisia hisia tu.
Tafadhalii sana Bwana Mwashambwa.
Nauliza tena, Wanachokuja kuwekeza ni nini ambacho Watanzania kupitia kodi yao hawajawekeza?
Wanachokuja kuwekeza ni nini haswa wakati Nchi imesha wekeza matrilioni ya fedha humo?
Ni nini haswa hawa wawekezaji wanaleta ambacho hakipo kwenye huo mfumo wa Usambazaji wa Umeme?
Sisi siyo wajinga kiasi hicho. Chini ya Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. hakuna mkataba wa kimangungo utakaosainiwa.Wengi wao wanakuja mikono mitupi. Kisha wanakopa mabenki yetu na eti wanawekeza
Huo ni Ukweli usiopingika.Wengi wao wanakuja mikono mitupi. Kisha wanakopa mabenki yetu na eti wanawekeza