Dark days 17/03/20...

Hii thread ninachoipendea huwa ipo katika nyanja zote, kidini kihistoria kimedani kijasusi kiasiasa na kimaendeleo, tunampongeza mwanzisha mada na haswa wachangiaji ambao tupo hapa tokea siku ile uzi huu ulipo anzishwa.

Huu uzi utadumu na kudumu na utakuwa marejea na hata ushahidi hapo kesho, kesho sio mbali ipo siku ukweli utajidhirisha.
 
Kuna mtu alitabiri mji wa Dar es Salaam kuangamia kati ya 20 April hadi 20 May 2024,
Akawaambia watu wauze mali zao kisha akatanga sehemu salama ni kuanzia Kibaha waende wakajenge huko wakimbie Dar 😂😂😂😂🤣🤣
Kwako Mwl Rabbon
Brother kwa sasa hupaswi kuamini yoyote hata awe kiongozi mkubwa kiasi gani wa dini.
Udanganyifu umekuwa mkubwa mno!
Fikiria mtu ulizingatia tahadhari ya nabii ukauza nyumba yako na kuhamia kibaha huko leo ungekuwa unajisikiaje?
 
Mkuu Pendaelli ni kweli kama mtu ulimsikiliza mtu kwa maneno ya ujanja ujanja wake bila kumpima kwenye mizani ya Neno la Mungu halafu ukauza mali zako, ukakimbia Dar unaweza kuachana na imani, ukaamua kuambatana na uganga na mizimu, na unaweza kulipa kisasi kwa aliye fanya uongo, km hutaongozwa na utu wa ndani.
 
Kuna mtu alitabiri mji wa Dar es Salaam kuangamia kati ya 20 April hadi 20 May 2024,
Akawaambia watu wauze mali zao kisha akatanga sehemu salama ni kuanzia Kibaha waende wakajenge huko wakimbie Dar
Kwako Mwl Rabbon
Nabii yupo Mang'ula anakula kambaletu, anyway tarehe bado zipo validi.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
The registered trustees of Dar es Salaam islamic club.

Hawa jamaa wanamiliki maeneo makubwa huko gezaulole, kigamboni, dar es salaam. Kiongozi wao ni mtanzania mwenye asili ya kiarabu. Huyu jamaa sometimes anafanya matambiko ya kichawi/kishetani ya kiarabu.

Hii club huenda ni indirect secret project ya wamarekani. Sometimes wamarekani wana fund indirectly na secretly, vikundi vya siasa kali kupitia watu wengine. Na baadae wana kuja kuwa geuka hao watu wa siasa kali.

Wamarekani wali fund indirectly na secretly mujahideen wa Afghanistan, dhidi ya serikali ya kikomunisti ya Afghanistan. Sometimes hao mujahideen, pia wali fund harakati zao kupitia biashara ya opium poppy na heroine.

Wamarekani, baada ya kutimiza malengo yao ya kuwafukuza wasoviet huko Afghanistan, wakaja waka wageuka hao mujahideen.

Dar es Salaam islamic club, huenda indirectly and secretly, sometimes wali support ideology ya vurugu za mkiru, tanzania, na pia ya vurugu za cabo delgado, msumbiji.

Sometimes makampuni makubwa ya kimataifa ya nchi za magharibi, yana fund indirectly na kisiri siri, vurugu, ili kuwafukuza wenyeji kutoka kwenye maeneo yao ya asili, ambayo yana gesi na mafuta, ili makampuni hayo, yayachukue maeneo hayo, bila kuwalipa fidia wananchi wa maeneo hayo.

[Kuanzishwa ‘Islamic Club’ ni ajenda ya siri inayoweza kuhatarisha amani Tanzania

Mada hii imetafsiriwa kwa kiswahili na mtu fulani kutoka katika gazeti fulani, la kiingereza, la tarehe 5 Julai, 1998, la kitanzania. Na kuandikwa kwenye gazeti fulani, lingine, la kiswahili, la kitanzania, ili mada hii ijibiwe ndani ya gazeti hilo la kiswahili.

KATIKA Tanzania, watumishi wa serikali wa ngazi za juu za Rais, Waziri Mkuu huhesabika kikatiba kama ni walinzi wa sera za taifa katika maisha yao bila ya kujali kwamba bado wako kazini au wamestaafu.

Hii ndio maana baada ya kustaafu, waheshimiwa hawa wa taifa hupewa huduma maalum kama vile ulinzi, makazi yanayotambulika kiserikali, usafiri wa kiserikali, na hata huduma ya kifedha ya kuwatosheleza wao na familia zao katika maisha yao yote.

Moja kati ya sera kuu za kitaifa za Tanzania, tangu uhuru, ni ile inayohakikisha kwamba nchi inabakia kutokuwa ya kidini, ambayo kikatiba inalinda haki ya watu ya kuabudu na kuamini dini waipendayo. Ni msingi huu imara wa kijamii na kisiasa ulioiwezesha Tanzania kubakia "kisiwa cha Amani" ndani ya bara linalokabiliwa na misuguano na migongano ya hatari ya kila aina.

Hata hivyo, ikichochewa na viongozi wenye ushabiki wa kidini, hasa tangu serikali ya awamu ya pili ilipoanza kuwa madarakani, Watanzania wamekuwa wakishuhudia nchi yao waipendayo ikitumbukizwa taratibu katika hali ambayo hatimaye itafikia katika migongano ya hatari ya kidini kama ile inayotokea huko Algeria, Afghanistan, Sudan na sehemu nyinginezo. Vurugu za kidini kama zilizotokea katika eneo la Mwembechai mjini Dar es Salaam miezi michache iliyopita ni moja tu ya mifano ya hali hizo zinazowezekana kutokea.

Uchunguzi wa karibu unaotiwa vigezo na tukio la hivi karibuni la kuanzishwa kwa kikundi cha kidini kwa jina la "Dar es Salaam Islamic Club" (DIC) chini ya uongozi wa Rais wa Awamu ya Pili, Rais Ali Hassan Mwinyi, umeonyesha ugunduzi unaoashiria hali ya uvunjwaji amani nchini.

Kwa kutumia nafasi ya kuwepo kwa ushabiki wa kidini ndani ya uongozi wa serikali ya Tanzania, nchi za Kiislamu, zikiwa chini ya Jumuiya ya Nchi za Kiislamu (OIC ) zimekuwa zikitumia misaada kama chambo cha kuivuta Tanzania kuwa ndani ya wanachama wa OIC. Lengo hili lilitimia kwa uchache kabla serikali ya Awamu ya Pili haijaisha. Ingawaje Tanzania inadai ilishavunja lengo lile, inaaminika kuwa uongozi wa OIC bado unaihesabu Tanzania kama mwanachama wake kama ilivyokwisha kusainiwa na viongozi wa Tanzania wanaoaminika kuwa ni wa Awamu ya Pili.

Walichokuwa wakishuhudia Watanzania wasiohusika - yaani wasio Waislamu - ni vita vya msalaba (crusades) vya kashfa, tangu mwanzo wa Serikali ya Awamu ya Pili, na kwa mujibu wa wachunguzi wa mambo vita hivyo vya mahubiri ya kashfa ni baadhi tu ya mbinu za OIC katika kuanzisha serikali kamili ya Kiislamu Tanzania. Chini ya stratejia hizi, baadhi ya vikundi vya kidini vilivyosajiliwa nchini, vinavyopewa fedha na vikundi wanachama vya OIC vya humu nchini, vimekuwa vikitekeleza matashi ya OIC nchini kwa misingi ya "Jihad"(vita vitakatifu). Haya yalipelekea kwenye migongano mibaya ya kidini kama ile ya misikiti ya "Kwa Mtoro" na "Mwembechai" mjini Dar es Salaam.

Inajulikana kwamba katika Uislamu, kifo katika "Jihad" kinahesabika kama ni "tiketi ya moja kwa moja" ya peponi, na ndio kutokea upinzani mkubwa uliotolewa na Wahubiri wa Kashfa wa Kiislamu katika matukiombali mbali yaliyofikia kilele katika vurugu mbaya za msikiti wa Mwembechai.

Kuanzishwa kwa "Dar es Salaam Islamic Club", kwa mujibu wa wachunguzi, ni kubadilisha gea kuelekea kwenye hatua ya juu zaidi ya kutekeleza stratejia za OIC ndani ya Tanzania. Inaaminika kwamba ofisi ya Dar es Salaam Islamic Club, ikiongozwa na Ali Hassan Mwinyi, itatumika kama makao makuu ya muda ya OIC hapa Tanzania.

Ni jinsi gani jumuiya hii iliyoundwa kwa nia mbaya, ya Dar es Salaam Islamic Club, ilipitishwa kwa kupewa usajili, bado ni kitendawili kwa wachunguzi wa ndani na nje ya nchi. Lakini dodoso za kitendawili hiki zilikuwa ni rahisi kung’amuliwa hasa pale walioalikwa katika uzinduzi wa DIC walipojulikana. Hawa walikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani (ambaye ndiye msajili wa vikundi), Bwana Ali Ameir; Makamu wa Rais, Dr. Omari Ali Juma, na waheshimiwa wengine wa Kiislamu kutoka serikalini, jeshini, sekta za umma na sekta binafsi..

Kinyume cha suala zima ni ukweli kwamba maandalizi ya sherehe za uzinduzi wa DIC yalifanyika katika wakati ambao kampeni kali zilikuwa zikifanywa na serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Chama Tawala - Chama Cha Mapinduzi kuyafungia baadhi ya makanisa, ikiwa ni pamoja na lile kanisa maarufu la Mchungaji Kakobe (Full Gospel Bible Ministry) lililopo Dar es Salaam likiwa na matawi katika mikoa mingi.

"Hivi hii ndio njia nzuri ya kutekeleza uhuru wa dini na kudumisha amani na uimara katika nchi hii, uliokuwepo kwa muda mrefu?" Wachunguzi wa mambo wamekuwa wakiuliza.

Kwa nini Ali Hassan Mwinyi, ambaye hadhi yake inalindwa na kuchangiwa na walipa kodi wa Tanzania wa imani tofauti, amechagua kufanya mambo yanayoonekana kuwa na madhara kwa nchi, bado ni kitendawili kwa Watanzania wengi na wageni pia.

Akiongozwa na ushabiki wa kidini na huku akifanya mambo yake nyuma ya mgongo wa "uhuru wa kuabudu", Ali Hassan Mwinyi anaonekana na wachunguzi wa mambo kama mtu ambaye siku zote ameshindwa kuelewa ni kipi kinatangulia kati ya kufanya kazi kwa manufaa ya taifa na kuendekeza matashi ya Uarabu wa Kiislamu. Hili la Uarabu wa Kiislamu ndio lililomchukua zaidi, kwa mujibu wa wachunguzi wa mambo, ambalo linapelekea katika maangamizo ya taifa.

Ajenda ya Siri

Tangu mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 ambayo yaliung’oa utawala wa muda mrefu wa Kisultani kule Visiwani, mataifa ya Kiarabu hayajaisamehe Tanzania kwa kitendo hicho.

Kidini, mataifa ya Kiarabu kwa ushabiki mkubwa yamekuwa yakiifanya Tanzania kama ndugu wa karibu, lakini tukirudi katika masuala ya kiuchumi na kisiasa, Tanzania inafanywa ni miongoni mwa maadui wa Uarabu, ya pili baada ya Israel.

Yakiwa na shauku ya kurejesha matakwa yao ya kuikamata Tanzania kisiasa na kiuchumi mataifa ya Kiarabu yamekuwa yakitumia nafasi ya hali ya kutokuona mbali waliyonayo baadhi ya viongozi wa Tanzania ambayo inasababishwa na ushabiki wa kidini.

Walipokwishagundua muda muafaka wa vitendo wakati wa serikali ya Awamu ya Pili, Waarabu hawajaacha kutumia uwezo wao wa kidiplomasia na kifedha kuhakikisha kwamba sio tu wanairudisha Zanzibar peke yake katika utawala wao kisiasa na kiuchumi, bali hatimaye waikamate Tanzania yote.

Kihistoria, kwa zaidi ya karne sita Waarabu wamekuwa wakileta madhara nchini Tanzania, na kwa uhakika, katika Afrika yote ya Weusi, ambapo walijishughulisha na kukamata na kuuza watumwa na pembe za ndovu. Ukatili wao wa hali ya juu kwa wenyeji wa Kiafrika kwa kipindi chote hicho umo katika mamia ya vitabu vya historia ulimwenguni kote.

Lugha ya Kiswahili iliibuka wakati wa kipindi cha biashara ya utumwa wakati watumwa waliokamatwa kutoka sehemu mbali mbali za nchi walipokusanywa pamoja katika kambi za watumwa katika mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi wakisubiri kuuzwa. Kama njia ya kujaribu kuwasiliana wao kwa wao, maneno ya Kiarabu, taratibu yalitengeneza njia ya mawasiliano ya kuelewana miongoni mwa watu waliitwa watu wa "Swahel" (yaani watu wa Pwani). Lugha hii ilipokuwa ndipo ikasambaa hadi vijijini ambako baadaye iliendelezwa na vikundi vya kidini kuenea katika nchi nzima.

Majina kama "Kitwana" (yaani Mtumwa), "Mwinyi" (yaani Mswaga Watumwa)_ na "Mwinyimkuu" (yaani Mkuu wa Waswaga Watumwa) ni baadhi ya maneno yaliyobakia yaliyotokana na utumwa wa Waarabu katika Tanzania. Je, Watanzania wako tayari kufungua milango tena kwa utumwa-mamboleo unaotaka kuletwa kupitia ushabiki wa kidini?].

Hao jamaa, walimwandikia Mkapa barua. Mkapa akawajibu, majibu haya yaliandikwa katika gazeti, hilo hilo, la kitanzania, lililotafsiri, kwa kiswahili, hiyo mada hapo juu.

[Majibu ya Rais kwa hao jamaa.

The President of the United Republic of Tanzania
The State House
Dar es Salaam

17 Desember, 1999

Ndugu (etc mtanzania mwenye asili ya kiarabu),
Halmashauri Kuu ya Waislamu,
C/o Islamic Club,
S.L.P. etc,
DAR ES SALAAM.

Ndugu (etc, mtanzania mwenye asili ya kiarabu),

NINAKIRI kupokea, kwa shukrani, barua yako ya tarehe 26 Agosti, 1999, pamoja na viambatanisho vyake. Imenichukua muda mrefu kukujibu kwa sababu mambo uliyoandika ni mazito, ya kitaifa na inabidi niyatafakari kwa kina, niyafanyie utafiti zaidi, na nishauriane na wenzangu serikalini kabla ya kuyajibu.

Leo ninakuandikia si kwa lengo la kujibu hoja moja baada ya nyingine, au kutoa jibu kwa kila swali. Katiba ya Jamhuri yetu inanipa mimi, kama Rais, wasaidizi wengi. Ninaye Makamu wa Rais, na ninaye Waziri Mkuu. Ninaye waziri wa kila sekta, na ninao wakuu wa mikoa na wilaya kwa kila eneo la nchi yetu. Nitakuwa siwatendei haki nikijibu maswali yanayowahusu wao. Ningeshauri, kama mlivyojenga mahusiano mazuri nami, mjenge pia mahusiano mazuri na mawaziri, wakuu wa mikoa, na kadhalika, ili kila jambo lisingoje mpaka lifikishwe kwa Rais.

Nina uhakika, kwa mfano, kwamba Waziri wa Elimu ana uwezo na madaraka ya kutosha kushughulikia masuala ya elimu, ambayo kwangu ni muhimu sana. Akikwama atayaleta kwangu. Hiyo itasaidia kufanya mawasiliano nami yawe yale yanayohusu mambo ya msingi, badala ya kujadili matukio. Misingi hiyo itasaidia kuwaongoza watendaji wa serikali, na kuniwezesha mimi na nyinyi kuwa na vigezo vya kupima tunafanikiwa kiasi gani katika kuhakikisha kila mwananchi anapata haki zake za msingi bila ubaguzi wowote kwa sababu za dini, dhehebu, kabila, jinsia, eneo analotoka, na kadhalika.

Msingi wa kwanza ni utawala wa sheria. Nchi yetu lazima iendelee kutawaliwa kwa msingi wa sheria zilizowekwa kwa njia za demokrasia. Hivyo napata taabu kidogo raia wa nchi hii anapofikiri matatizo aliyo nayo yanaweza kutatuliwa nje ya mfumo wa utawala wa sheria. Kila mwenye kero akichukua msimamo huo, nchi hii itakuwa haitawaliki tena, itakuwa vurugu tupu. Kazi ya msingi ya serikali yoyote ni kuhakikisha unakuwepo utawala wa sheria, ulinzi na usalama wa raia wote, wa aina na imani zote. Uhalali wa raia kudai haki nje ya mfumo wa utawala wa sheria unaweza ukakubalika penye utawala wa kikoloni, utawala wa ubaguzi wa rangi, au utawala wa kidikteta. Uhalali huo haupo hata kidogo katika nchi huru, inayoongozwa kwa misingi ya demokrasia kama ilivyo Tanzania.

Kwa sababu hiyo nimefadhaishwa sana na kauli za kuashiria shari za wale wanaojiita "Shura ya Maimamu Dar es Salaam". Pamoja na mambo mengine ya uchochezi wanasema, "Waislamu hatuna moyo tena na serikali ya nchi hii na vyombo vyake vyote likiwemo Bunge na Mahakama". Ninajua huu sio msimamo wa Waislamu walio wengi, lakini matamko yasiyokuwa na kiasi kama haya yasipokanushwa, na wanaoyatoa wanapopewa fursa na majukwaa ya kuyasema, hiyo inawapa silaha wale wachache wanaojaribu kupaka matope heshima na picha nzuri ya Waislamu. Mimi na ninyi tuna kazi ya kuwasahihisha wenye hulka ya aina hiyo, lakini matamko kama haya yatafanya kazi hiyo iwe ngumu zaidi.

Utawala wa sheria chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri. Katiba yetu imepiga marufuku ubaguzi wowote, kwa msingi wowote, ikiwemo dini, kabila, rangi, eneo analotoka mtu, na kadhalika. Katiba hiyo pia imetoa uhuru kamili, ndani ya uwigo wa sheria, wa imani za dini kustawi katika uhuru wa ibada. Isipokuwa kwa wale ambao hawana imani na vyombo vyote vya dola, mimi nina imani kuwa mahakama zetu zina uwezo na uhuru kamili wa kumpa haki hizi za msingi yule ambaye atakuwa amenyimwa kwa ubaguzi.

Narudia. Haki za msingi za kila raia zimo ndani ya sheria Mama - Katiba - ya Jamhuri yetu. Kama kweli upo ushahidi kwamba baadhi ya taasisi za umma, au viongozi wa umma, wamebuni mfumo wao wa kuhakikisha Waislamu wananyimwa haki zao, hao wala si wa kuchukuliwa hatua za nidhamu tu, bali ni wa kushitakiwa mahakamani. Wasionewe haya. Tusaidianeni washitakiwe!

Siwezi kushangaaa iwapo kuna mtu au kiongozi mahali ambaye ndani ya moyo wake ana chuki dhidi ya Wakristo au dhidi ya Waislamu, au ana chuki dhidi ya wanaume au wanawake, au ana chuki dhidi ya Wazaramo au Wahaya, au chuki dhidi ya watu warefu au wafupi. Ninachosema ni kuwa katika utafiti niliofanya hakuna mahali popote katika serikali hii ambapo upo mfumo rasmi wa kubagua au kumnyima haki za msingi mtu yeyote kwa msingi wowote.

Kweli, zipo tofauti kati ya idadi ya Waislamu na wasio Waislamu katika shule, vyuo, sehemu mbalimbali za kazi lakini huo si ushahidi wa mfumo wa ubaguzi. Sababu zake sote tunazijua - ni za kihistoria na za kijamii, kama ilivyo kwa tofauti kati ya idadi za watu wa kabila mbalimbali, au jinsia. Ingekuwa tofauti hizo peke yake zinatosha kuthibitisha mfumo rasmi wa ubaguzi wa Waislamu, kwanini tusiseme pia kuwa upo mfumo rasmi wa kubagua wanawake, au watu wa kabila fulani, au rangi fulani, au umbo fulani. Na ukweli ni kuwa si kila mahali Waislamu ni wachache. Kwa mfano nimejaribu kuhesabu ni mabalozi wangapi, tena kwenye zile ofisi za ubalozi muhimu sana, ambao ni Waislamu. Naomba na ninyi mfanye hesabu hiyo.

Lakini turudi kwenye masuala ya msingi. Si jambo zuri sana kuanza kujenga utamaduni wa kuhesabu watu kwa misingi ya kabila zao, dini zao, rangi zao, jinsia zao, au maeneo yanayotoka. Tangu uhuru tumejitahidi kujenga taifa ambapo haki na heshima ya mtu inatokana na utu wake, si dini yake, kabila lake, jinsia yake, na kadhalika. Siko tayari kujenga mfumo wa utawala ambapo sifa ya mtu kupata nafasi ya shule, au nafasi ya kazi, ni dini yake. Aidha, tukishaanza na dini tutawazuiaje wengine kudai nao wafikiriwe kwa misingi ya dhehebu la dini, jinsia na kadhalika. Hapo tutakuwa tumefumua misingi ya umoja, upendo, mshikamano na kuheshimiana waliyotuachia waasisi wa Taifa letu. Naomba sana tusitafute dawa ya ugonjwa mdogo itakayozua magonjwa makubwa zaidi yasiyokuwa na tiba.

Vile vile kuanzisha taasisi mpya ya kupokea na kuchunguza ubaguzi wa kidini kutazidi kutuvuruga tu kwa vile ni kukiri kuwa kweli upo ubaguzi uliojengeka ndani ya mfumo wa utendaji serikalini, jambo ambalo si kweli. Aidha, kama nilivyosema, ukianzisha taasisi ya kushughulikia ubaguzi wa kidini, huwezi kukataa wengine wakidai taasisi nyingine ya kushughulikia ubaguzi wa jinsia, ubaguzi wa kabila, rangi na kadhalika.

Tusijitose sana katika zoezi la kuhesabu watu kwa misingi ya dini. Tukifanya hivyo tutaimarisha, badala ya kufifisha, hali ya watu kujihisi kwanza kama watu wa dini fulani, badala ya kujihisi kwanza kama Watanzania. Mimi nilifikiri kuwa Tanzania ilishavuka hatua hiyo. Naomba tusirudi nyuma kwenye kutukuza udini, ukabila, au maeneo tunayotoka. Tukishajitumbukiza huko hatuwezi kutoka tena. Badala yake lengo letu liwe kuelekea mahali ambapo tutakuwa vipofu wa dini, vipofu wa rangi, vipofu wa kabila, na kadhalika. Na pia tusisahau kuwa Tanzania yetu hii ina hata Maaskofu wenye majina ya Ramadhani au Hussein, na wengine wengi ambao wana majina yasiyofichua dini zao au kabila lao.

Jambo jingine la msingi ni kuhakikisha kuwa Tanzania kama Taifa, na kama serikali au chama chochote cha siasa, inakuwa haina dini. Kwenye hili hakuna mjadala, maana ni hali hiyo ya kutoinamia upande wa dini yoyote ndiyo inayotupa nguvu ya kusimamia na kuhakikisha kila raia anapata haki zake za imani za dini na uhuru wa ibada bila hofu au wasiwasi.

Kwa hili serikali ni refa anayehakikisha kila upande una haki sawa, na uhuru sawa, na kuwa uhuru wa kuabudu au kutangaza dini kwa upande mmoja hauathiri haki ya uhuru wa ibada na kutangaza dini kwa upande wa pili.

Mimi ni Rais wa watu wa dini zote, na ni Rais pia wa wale wasiokuwa na dini, ni Rais wa kabila zote na rangi zote, jinsia zote na hulka zote.

Mimi ni Rais wa wanywa pombe na wasio wanywa pombe; wala nguruwe na wasiokula nguruwe. Si kazi yangu kuhukumu nani kati yao ni mwema na nani si mwema. Kunitaka nimkataze mmoja anachopenda ni kunitaka nifanye kazi ya kuhukumu juu ya imani za watu ambayo si yangu; hiyo mimi naamini ni kazi ya Mwenyezi Mungu mwenyewe.

Hiyo pia ndiyo inayonifanya nichelee kukubali haraka haraka hoja ya Tanzania kujiunga na Shirika la Waislamu (OIC). Nadhani si sahihi kuishinikiza serikali ikubali hoja hiyo kwa vile tu zipo nchi nyingine zilizojiunga. Kila nchi huangalia mazingira yake na sababu zake. Kwa vile ukijiunga unafanya hivyo kama Taifa zima, si kama sehemu ya Taifa, siwezi kupuuza kabisa maoni ya wale ambao si Waislamu. Hivyo huu si uamuzi ambao ninaweza kuufanya kwa wepesi; unahitaji mashauriano zaidi na pande zote na kuelimishana ili jamii yote ya Tanzania ielewane.

Kuhusu suala la Mwembechai mimi nilifikiri tulishaelewana kuwa haitasaidia sana kuunda Tume ya Uchunguzi, maana tunajua kilichotokea. Na tunajua kuwa zile fujo, ambazo hatimaye zilihitaji nguvu kubwa ya dola kuzizima, hazikuwa na uhusiano na mambo ya dini kabisa. Ndio maana miongoni mwa waliokamatwa walikuwapo watu ambao wala si Waislamu. Bado haja na hoja ya kuunda Tume sijaiona.

Tulipokutana tarehe 7 Julai, mwaka huu, mojawapo ya mambo tuliyozungumzia ilikuwa umuhimu wa kuwa na fursa ya mazungumzo ya kudumu baina ya waumini wa dini mbalimbali, (inter-faith dialogue), ili mradi wahusika wawe watu waliokomaa kimawazo, wenye busara na nia njema. Hii itasaidia kujenga maelewano baina ya waumini wa dini zote na hivyo kupunguza hisia za kibaguzi za kila upande, na kujenga msingi bora zaidi wa kufurahia uhuru wa imani katika mazingira ya kupendana na kuheshimiana, japo tuwe na imani tofauti za dini.

Mlango wangu bado uko wazi kwa majadiliano ya mambo ya msingi kama haya kila nikiwa na nafasi.

Tanzania ni nchi yetu sote, watu wa imani tofauti za dini. Tukiwa na busara, tutawajengea watoto wetu nchi nzuri ya kumcha Mungu kwa uhuru, amani na kuheshimiana kwa kuzingatia kwa dhati maneno haya.

Wasalaam,

Benjamin William Mkapa
RAIS WA JAHAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA].
 
Du! hekima iliyotukuka kiwango cha maglev.
 
Back
Top Bottom