Watoto wawili wa familia ya askari wanamaji waliopotea mwezi Octoba mwaka jana wameuawa kwa kufanyiwa ukatili na watu wasiojulikana kisha kuweka mabaki ya mafuvu yao katika mfuko pamoja na nguo walizovaa siku ya tukio na kutupa mafuvu hayo pembezoni mwa barabara za Mbozi eneo la Keko viwandani jijini Dar es Salaam.
Intelijensia ya polisi wetu Ni kwa mambo ya ukawa Tu!