Dar usiku wa leo ulikua mrefu kuliko mchana

Ni kweli kabisa usiku wa jana kuamkia leo ulikuwa mrefu kwa takribani masaa mawili hivi...mimi mwenyewe nimelishuhudia hilo live kabisa! Lakini hii yote haikutokea kwa bahati mbaya ni kitu kilichokusudiwa kabisa kwenye mfumo wa solar system kwamba siku UKAWA wakishinda umeya wa jiji lazima usiku ule mrefu kuwapa faraja ya kupumzika baada ya miezi minne ya fitina zilizoshindwa
hahaha!mshana unamaneno mustajaba,nalisibitisha hilo jana nimelala vitanda viwili tofauta kuutafuta upepo lakini nilijiuliza mbona hakukuchi,halafu kulivyokucha sikupata shida kuamka mana nilipomzika vya kutaosha.Karibu sana meya.
 
Ni kweli kabisa usiku wa jana kuamkia leo ulikuwa mrefu kwa takribani masaa mawili hivi...mimi mwenyewe nimelishuhudia hilo live kabisa! Lakini hii yote haikutokea kwa bahati mbaya ni kitu kilichokusudiwa kabisa kwenye mfumo wa solar system kwamba siku UKAWA wakishinda umeya wa jiji lazima usiku ule mrefu kuwapa faraja ya kupumzika baada ya miezi minne ya fitina zilizoshindwa
huo ni umeya tu ,uraisi itakuaje ?
 
Wakuu,

Kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.But kuna jambo la ziada jana usiku.Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, je ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?

Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimya!
Vipi Air Condition ilikua mbovu?
 
Wakuu,

Kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.But kuna jambo la ziada jana usiku.Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, je ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?

Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimya!
Watu mmen'gan'ania dar es salaam. Mtafia huko kwa kuto taka kujiongeza. Maisha mlo mmoja, msoto tangu j3 mpaka ijumaa, januari mpaka decemba, joto ka mko kwenye tanuru na bado mwang'ania huko. Fungukeni muone fursa na hali ya hewa yenye kuvutia huku mikoani
 
Back
Top Bottom