Dar: TRL yabomoa nyumba kadhaa eneo la Buguruni

Aisee napitia comments zako ila huwa naamini usimseme mwenzio vibaya sababu ndo maana wanasema hujafa hujaumbika au mwenzio akinyolewa zako tia maji si vizuri kuropoka hata kama walikosea sababu hakuna ajuaye kesho itakuwaje unaweza na wewe ukaadhibiwa kwa njia yoyote ile labda kama wewe unaishi kwenu unakula na kwenda toilet bure hapo hutaona uchungu wanaopata wenzako kuwa makini
Hakuna namna wawekwe mahabusu mpaka jumatatu asubuhi wapandishwe kortini kwa kuvamia ardhi ya TRL/Serikali. Hakuna kulea upuuzzi. NCHI YA VIWANDA inataka nidhamu ya sheria kwa kiwango cha hali ya juu. Haiwezekan tuendelee kuchekesha miaka zaidi ya 50 kwa kigezo eti wananchi ni maskini.
 
Ndo maana nasema wewe utakuwa unakula na kwenda toilet bure sababu unakaa kwenu hufikirii kesho mimi siwez kuwasema hao watu sababu najua uchungu walionao na sijui kesho yake itakuwaje inaweza ikatokea chochote kwangu ukikua na kuwa na familia ukaongea kama unavyoongea wewe basi utakuwa una mental problem kuwa makini
 
Hakuna anayeruhusiwa kujenga eneo la reli kama isivyoruhusiwa kutumia vyeti fake au visivyo vyako kuajiriwa.
Ndio maana wanaoona mbele zaidi walishauri wazo la kuwa na tume ya ukweli na maridhiano.
Hebu angalia tz ya sasa:
- karibia 70% ya kipato ni 'wapiga dili'.
- zaidi ya 70% ya ujenzi ni sehemu zisizopimwa
- asilimia 50% ya elimu ni vyeti fake au vya kuiba
- msingi wa nchi yoyote ni familia na zaidi ya 65% ya ndoa tz zinajihusisha na michepuko.
Je, ni sahihi kudanganyana hapa kuwa unaweza kujenga nchi bila kurekebisha haya na mengineyo!? Maana hata anayevunja naye unakuta kajenga kusikoruhusiwa, kwani hata AZAM walivyopanua pale hawajaingilia eneo la TRL!?
Kazi unayo....unachanganya mambo unategemea itasaidia? Reli...vyeti fake....and yet the world moves on
 
Kama hao watuhumiwa (walio bomolewa) ni wengi hawatatosha hapo mahabusu ya Buguruni wengine wapelekwe TAZARA hata Chang'ombe kusubiri kupelekwa mahakamani j3 asubuhi na mapema. Hili linapaswa kuwa funzo kwa wananchi wasioambilika
 
Hakuna namna wawekwe mahabusu mpaka jumatatu asubuhi wapandishwe kortini kwa kuvamia ardhi ya TRL/Serikali. Hakuna kulea upuuzzi. NCHI YA VIWANDA inataka nidhamu ya sheria kwa kiwango cha hali ya juu. Haiwezekan tuendelee kuchekesha miaka zaidi ya 50 kwa kigezo eti wananchi ni maskini.
Unaishi kwenu au kwa shemeji yako. According to hii comment.. uwezo wako wa kufikir ni mdogo sana na hauna experience ya maisha.
Yaan ww unajua gharama za kujenga nyumba mpaka ikasimama...? Kuanzia kiwanja.. material mpaka kulipa mafundi?
Hapo bado una mtoto mmoja au wawil unasomedha.. nyumba inabomolewa alaf ww unashabikia kwa kujiamin kabisa......!
 
Kama hao watuhumiwa (walio bomolewa) ni wengi hawatatosha hapo mahabusu ya Buguruni wengine wapelekwe TAZARA hata Chang'ombe kusubiri kupelekwa mahakamani j3 asubuhi na mapema. Hili linapaswa kuwa funzo kwa wananchi wasioambilika
Kwa nn unawaita watuhumiwa wkt watu walishajenga miaka hiyoooo.... ?
Basi wkt wanachukua kiwanja... wangeonywa kuwa sehem hii ni ya TRL.
Ww unawaita watuhumiwa.. wameiba .. wameua.. wametukana mtu.... au?
embu kale ukalale.. keyboard warrior
 
Unaishi kwenu au kwa shemeji yako. According to hii comment.. uwezo wako wa kufikir ni mdogo sana na hauna experience ya maisha.
Yaan ww unajua gharama za kujenga nyumba mpaka ikasimama...? Kuanzia kiwanja.. material mpaka kulipa mafundi?
Hapo bado una mtoto mmoja au wawil unasomedha.. nyumba inabomolewa alaf ww unashabikia kwa kujiamin kabisa......!
Gharama ulizotumia kujenga nyumba hai halali shi uvunje sheria. Tufuate sheria.
 
Ninachosema hapa.. ni kwamba ww unachukulia easy sana.. haya mambo. Ungekuwa umejenga ndio ungeelewa naongea nn... kwa sasa hutanielewa
 
Kwa nn unawaita watuhumiwa wkt watu walishajenga miaka hiyoooo.... ?
Basi wkt wanachukua kiwanja... wangeonywa kuwa sehem hii ni ya TRL.
Ww unawaita watuhumiwa.. wameiba .. wameua.. wametukana mtu.... au?
embu kale ukalale.. keyboard warrior
Nawaita watuhumiwa maana mahakamani Ndio ina mamlaka ya kuwatia hatiani ama la. Ni wajibu wa mnunua kiwanja kujiridhisha kuwa eneo analonunua halina mgogoro wowote.
 
Kwani hizo treni zenyewe huwa hata zinapita hapo, au ndio kuongezeana stress tu, wakavunje na ya mama Rwakatare nione
 
Back
Top Bottom