MABALA THE FARMER
kwani mmiliki wa viwanda kuwa na sukari kwenye godown ni kosa??
Hivi jamaa na akili zake zote kampuni ya Mohammed Enterprise kweli anaenda na kusema sukari isitoke hadi uchunguzi ufanyike? Hehehe! alafu hiyo fidia alipe nani? Hiyo ni kampuni ambayo production yake kwa siku ni pesa ndefu, kusimamisha production ya siku nzima ati kisa mtu anahisihisi mambo ni ujinga.
Tanzania em tuacheni ujinga sasa tutachekwa, mbona watu wanakurupuka kijinga hivyo?
Ingekua mimi huyu Makonda ningefukuza mapema sana, anatafuta jina ila doesn't mean ni mtu smart, mambo anayofanya mengi nayafeli, hili nalo litafeli, alileta la waalimu kusafiri bure tukasema ni ujinga since huwezi ingilia biashara za watu na kusema wafanye usafiri wa bure, leo hii hiyo idea iko wapi? Vitu vingine havihitaji hata kuumiza kichwa ni plain stupid.
hahahahaha AZAM asiweke sukari ya kutuchanganyia kwenye vinywaji akauze mitaaani kwel mwakahuu viongozi wananengua sana kwenye cameraKesho atakwenda kwenye ghala la azam kule bekary na kiwanda cha juice na soda ikisha atasema sukari imefichwa
hivi ni kwa nini tukianza kujadili utendaji wa serikali mnajaribu kuzima kwa kuleta hoja za Lowassa?
Wanafiki wote wa nchi hii wamo upinzani hasa chadema. Ukitaka kuamini fuatilia michango yao dhidi ya Lowasa kwa kipindi cha kuanzia mwezi wa Mei 2015 hadi mwezi septemba 2015. Hiki ni kipimo cha miezi mitano tu unaona unafiki wao unavyothibitika.Watu hawaachagi kuongea wakitulia maofisini mlikuwa mnaongea sasa hivi wako site bado mnaongea nyie ni shidaa
Hili zoezi lina bigotry ndani yake, ndio sababu maneno hayaishi.Watu hawaachagi kuongea wakitulia maofisini mlikuwa mnaongea sasa hivi wako site bado mnaongea nyie ni shidaa
Hata vichaa hawakai ndani wanatoka na kuzurura, kigezo cha kwenda site kufanya kazi ya upelelezi wakati wahusika wako inatia shaka weledi wa mhusika na mteteziWatu hawaachagi kuongea wakitulia maofisini mlikuwa mnaongea sasa hivi wako site bado mnaongea nyie ni shidaa
lugumi kiboko kawanunua wote mpaka wameamua kuwasahaulisha Watanzania juu ya ufisadi wake Sasa wapo busy na sukari mpaka watu wasahau kabsa.New episode !! mwenye nyumba nasikia kaenda Uganda
kesho TRA watakanusha kuwa ilishalipiwa kodi,mnajua mnapoteza siku bure bila kufanya kazi mnakalia sukari wakati mnajua tatizo la sukari ni serikali yenyewe,mnajua fika kuwa viwanda vyetu havina uwezzo wa kuzalisha sukari ya kutosha sijui mnakera watu kwa lipi sasa!!!!
swali ni kwamba lowassa anaingiaje hapa?Kwahiyo ulitaka watendaji wakae ofisini tu?? Si mlishasemaga watu watoe waingie mtaani wakayaone matatizo na kuyatatua sasa mnalialia nini..
Sakata hili la sukari litaleta vioja vingi, Makonda kesho utamsikia yupo kwenye Stoo ya Coca-Cola akidai kaikamata sukari kiwandani.Kesho atakwenda kwenye ghala la azam kule bekary na kiwanda cha juice na soda ikisha atasema sukari imefichwa
sasa hapo kaona tatizolipi au anatalii maghala yya watu ambayo sasa mmeyabadili matumizi yake et mnaita KUFICHA Teh teh awamu ya viwanda banaKwahiyo ulitaka watendaji wakae ofisini tu?? Si mlishasemaga watu watoe waingie mtaani wakayaone matatizo na kuyatatua sasa mnalialia nini..
sasa hapo kaona tatizolipi au anatalii maghala yya watu ambayo sasa mmeyabadili matumizi yake et mnaita KUFICHA Teh teh awamu ya viwanda bana
Wataigiza sana mpaka watu wasahau issue ya Lugumi kitwanga, kinaendelea kwa sasa ni kuhakikisha kuwa watu wanasahau Bunge na ufisadi mwingineo wote na kukomaa na Sukari mpaka wapate Skendo ingine kisha waishupalie ili usahaulifu ukomae na kuendelea na mengine huko Mbele.Serikali ya viwanda imeshindwa sasa imehamia magodowns. Haaa haaaaaa haaaaaa tuendelee kuangalia maigizo ya kaole jaman