Dar: Sakata la kuibwa mtoto Hospitali ya Temeke

Mensaah you are typically healthcare professional hii kitu inasumbua wengi na hawajui ngoja utaniambia
Ukisoma jinsi kesi ilivyo ukaielewa kisha ukasoma huo utetezi wa huyo unayempongeza utagundua kachemka sana. Hata wewe uliyempongeza umeonesha bichwa lako hamna kitu.
 
Sio kutojua mkuu, kujua kuwa hapo ulipo mwanao watu walisha mchemsha kwenye chungu mpaka mafuta yakaja juu, wakachukua kwenda kuwauzia wazee wa mafuta ya upako, halafu supu wakanywa, na halafu mifupa wakaanika na kuisaga kwa ajili ya wazee wa hirizi za utajiri,
Mkuu unatutisha bhana..
 
Kumbukeni Nilitoa angalizo Mwishoni mwa taarifa ya Sakata hili....
Sasa nimeperuzi Blog na Page mbalimbali mda mfupi uliopita naanza kuuona Mwanga kwaa mbaaaleeee....
"Ukiunga Dot plus hii stori kuanzia Clouds Fm..... Sooon mtasikia..kuna Mtu/watu wanatafutwa hapa...
Twambie ulichonusa huko?
 
Sio kutojua mkuu, kujua kuwa hapo ulipo mwanao watu walisha mchemsha kwenye chungu mpaka mafuta yakaja juu, wakachukua kwenda kuwauzia wazee wa mafuta ya upako, halafu supu wakanywa, na halafu mifupa wakaanika na kuisaga kwa ajili ya wazee wa hirizi za utajiri,
tapatalk_1492681942652.jpeg
 
dada kaongea kwa machungu sana na nahisi atakuwa mzaramo manake anaongea kama chiriku
Hata mi nilisikia. Mama alichanwa na baada ya kufungua anayefanya operation akatamka neno "viwili". Nurse waliyekuwa wote kwenye chumba cha operation akamwabia pumbavu, endelea na kazi. Mama alikuwa anepigwa ganzi sehemu ya operation tu na baada ya hapo ndo akapewa dawa ya usingizi. Kuamka akajikuta chumba kingine. Mama anadai ilichukua muda mrefu sana kuonyeshwa mtoto tangu azinduke tokq kwenye usingizi. Ndo baadae kaja kupewa mtoto mmoja wa kike. Anaamini alikuwa na mapacha kulingana na vipimo vya ultra sound ila wao wanadai mtoto ni huyo mmoja tu.
 
Daktari asante kwa kuja kujaribu kutulewesha sie amvao sio madaktari. Kuna maelezo ambayo nafikiri hujayaelewa kwenye hili sakata. Aliyekuwa msaidizi wa daktari wakati wa operation alisikika akisema vipo viwili kabla ya daktari kumnyamazisha kuwa aendelee na kazi. On top of that walimpiga sindano ya usingizi kuja kuamka anakuta mtoto mmoja. Lkn pia ultra sound kapiga zaidi ya mara 2 na hapo hospitali ya temeke walipiga tena na wote wamesema mapacha. Haikutokea hata mmoja kasema sio mapacha. Na huyo Dr. Elisha akasema mmoja kakaa vby na mwingine vzr. Kwa hii issue ilivyo na kwa mujibu wa maelezo ya huyu mama kuna kitu kimejificha. Inavyoonekana huu ni mchezo wa kawaida sana unafanyika sasa huwa kuna msemo siku za mwizi ni 40. Ndo zimefika sasa........
Kama wamefanya kitendo hicho ni mbaya sana na ni against medical ethics na wakibainika wanapaswa kufunguliwa mashtaka pia yakithibitishwa kweli na mahakama pia leseni zao wanyang'anywe kwani wametia doa tasnia ya afya nchini na kutufanya watumishi wa sector hii wananchi kukosa imani na sisi
 
Ultrasound inategemeana na anayeioperate ana uzoefu kiasi gani, maana wanaweza wakapima kitu tumbani watatu tofauti kila mmoja akawa na majibu yake ndio maana inahitaji operator mzoefu sio anayejifunza

Kwa hiyo huyo mama kusema alicheck ultrasound akaambiwa ana mapacha sio kigezo tena mara nyingi siku hizi wanacheck ultrasound kwenye vizahanati vya private ambavyo vingi vyake havina wataalamu wa kutumia Mashine vzr wao wanaangalia hela tu

Niko kwenye medical field kwa miaka 5, wakinamama kadhaa walishawahi kuja wakisema wameambiwa zahanati wana mapacha lakini ukipima unakuta mmoja Hata kwa wale ambao tunaowafanyia operation ( ceaserian section) unakuta mtoto mmoja

Pointi yake angesema amewaona wote wametolewa after operation hapo yungemuelewa maana mara nyingi wanapewa dawa ya usingizi ya spine ambapo unaweza kuongea nae na anaona kila kitu
Yaan kafanya mara 4 unaanzaje kusoma watakuwa wamekosea
 
Hii stori hadi hapa ilipo mama anaongoza kwa goli tatu kwa sifuri,bado dakika tatu mechi iishe.Ndo maana utakuta kwenye nyumba za ibada watu wanalia sana...kumbe ndo madhambi yanayowaliza haya.

Sijawahi kuwa na imani na Hospitali za Umma isipokuwa Muhimbili tu.Watoto wangu wote,wife hujifungulia private hospitals...huko kila kitu mama anaona.
 
Ukisoma jinsi kesi ilivyo ukaielewa kisha ukasoma huo utetezi wa huyo unayempongeza utagundua kachemka sana. Hata wewe uliyempongeza umeonesha bichwa lako hamna kitu.
Na ndo maaana unasema Mimi ni bichwa maji sababu wewe ni mbwinga itakuwa ni ngumu sanaaaaaa tena sanaaaaa mark my words endeleeni kubishana
 
Ukisoma jinsi kesi ilivyo ukaielewa kisha ukasoma huo utetezi wa huyo unayempongeza utagundua kachemka sana. Hata wewe uliyempongeza umeonesha bichwa lako hamna kitu.
Na nilijua fala kama utakuja na povu sababu ni jua kali
 
dada kaongea kwa machungu sana na nahisi atakuwa mzaramo manake anaongea kama chiriku
Nimependa comment yako,zaidi ya yote hiyo ID yako,umenikumbusha mama angu mkubwa alikupa anapenda Sana kuita wenzie utamsikia we nawe nini akajasembamba
 
Sio kutojua mkuu, kujua kuwa hapo ulipo mwanao watu walisha mchemsha kwenye chungu mpaka mafuta yakaja juu, wakachukua kwenda kuwauzia wazee wa mafuta ya upako, halafu supu wakanywa, na halafu mifupa wakaanika na kuisaga kwa ajili ya wazee wa hirizi za utajiri,
Mmmmh. Umeenda mbali mkuu
 
we jamaa wewe!!
 
Waungwana mmenifungua akili. Lakini ultrasound haiwezi kukosea? Uko hivi: make wangu pia aliandikiwa na daktari kuwa ana mapacha (kadi hadi leo ipo). Alipopasuliwa nilipewa mtoto mmoja. Kisha nikaambiwa aloandika hakupima vizuri. Ndo maana nauliza mashine hii haiwezi kukosea? Naomba nijifunze.
mtoto wako yupo na wazazi wengine
 
Acheni udaku tafuteni ukweli
....

ULTRA SOUND YAWEZA KUKOSEA.

PACHA MMOJA AWEZA KUFIA TUMBONI NA KUNYONYWA HUMO HUMO NDANI YA TUMBO

MAMA MJA MZITO AWEZA KUWA NA KICHAA CHA UJAUZITO

N.K
Hao clouds ni vilaza tu ..
yuko daktari MD wanashindwa kumuuliza juu ya kurusha stories za namna hiyo....kama mtoto kaibiwa hiyo ni jinai na sehemu ya kisheria ni kwenda polisi sio clouds.

Tuache Udaku...Taifa limeathiriwa na Udaku
mkuu how sababu yule mama alipima akiwa na miezi nane ? duh basi tumbo la mwanamke la ajabu sana uwiiii
 
Nimesikia pia clouds radio,
serikali ilipaswa iingilie hii kitu,
kweli siyo jambo dogo,
mama wa watoto yuko serious sana,
kama huo wizi wa watoto upo ni aibu kwa taifa.
 
Pole sana, kwahiyo mtoto wako mwingine watakuwa walimwiba.

Back
Top Bottom