mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 41,974
- 50,622
Nafikiri hadi magari.ya serikali,majeshi nayo yalipe kodi.
SafiiiMakonda kaja na mradi wa kutoza ushuru wafanyabiashara wa taxii. Asema texi zitatoza wateja kutokana na Km zilizo tembea. Wateja watapewa risiti za EFD.
Apo sasa. Yeye kaenda USA kapanda tax kaona anaambiwa kulipa kwa km kaona acopy na ku paste kama ivyo ivyo bila kufanya mchanganuo wa changamoto zilizopo huku.Safi sana...
Inakuwaje pale taxi inakuwa imesimama kwenye foleni masaa kibao?
Au Dubai ndo mpango wao huu tax kusoma kilomitaApo sasa. Yeye kaenda USA kapanda tax kaona anaambiwa kulipa kwa km kaona acopy na ku paste kama ivyo ivyo bila kufanya mchanganuo wa changamoto zilizopo huku.
Na kuna wale wageni watakuwa wanazungushwa mitaa ili km ziwe nying.
Nyumba ndogo Mkuu.Kazi imeanza sasa,;kwani alipotelea wapi huyu
Kaa karibu na MAWINGU MEDIANgoja tuanze kupata headlines tena
Hao si wa kusemezana nao. Hawana wanachojua!nani anapanda taxi siku hizi ..... enyi viongozi miungu MTU ....... hebu shuhughulikieni matatizo yanayo mgusa mwananchi wa hali ya chini
Amewataka wawasilishe mapendekezo yao ili TRA iweze kuyafikiria katika makadirio ya kodi.
Source: Wapo Radio habari
Siyo yeye ndo alikimbilia shomoni? Mbona sikumwona akizindua mwendokasi?The Dar-es-Salaam Don is backkkkkk..,Ukawa wote wamekimbilia mashimoni mwao!ahahaha...damn it!
Huwa yanatekelezeka kwenye magazeti ya Shigongo.
nani anapanda taxi siku hizi ..... enyi viongozi miungu MTU ....... hebu shuhughulikieni matatizo yanayo mgusa mwananchi wa hali ya chini
Watu mna utani wa ngumivipi Bibie kafanikiwa kushika mimba??