Dar: Mwanadada ayagonga kwa gari majambazi 4 yaliyompora fedha kwa bunduki ya SMG

Hongera zake,apewe tunu ya ujasiri,ikiwezekana apewe kacheo ka ubodyguard
 
Waliacha bodaboda pia washajulikana km ni hivo waanze na nani aliyekuwa mmiliki kinyume na hapo huyo dada atafanyiwa issue sio mda si mrefu
 
Sijaelewa vema,huyu dada alipoamriwa atoe hizo 420000 alikuwa kwenye foleni barabarani? alipowapa ndio akawagonga wakati wanaondoka na pikipiki? Pia majambazi wanne walikuwa katika pikipiki moja?.aliyeelewa vema hili tukio naomba atueleweshe vema
 
Back
Top Bottom