Dar kwenda Tanga

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
476
1,030
Nataka kujua mabasi gan mazuri kwenda Tanga kutoka Dar na pia naweza pandia wap na wap na yanaondoka kuanzia muda gan hadi mwisho. Asanteni. Msiniambie nikagugo; nishatoka uko sijapata majibu yanayoeleweka
 
Nenda magufuli bus stand. Kuna mabasi haya in short though the list is not exaustive
1. Raha Leo
2. Tashrif
3. Moud
4. Ratco..most preferred
5. Nacharo.....most preferred

yako mengine lkn haya ndiyo habari ya tanga
 
Mimi sijui muda wa kuondoka ila Kuna mabasi kama tahmeed, tashriff, nacharo, raqeeb, moud, msawa I think, Simba mtoto(hamna basi humu labda kama wana mpya hao Simba) nk, nafikiri itakuwa sijakosea...panda tahmeed, nilipandaga kitambo ila Bado naskia yapo fresh na yameboreka zaid, tahmeed zile za kwenda Nairobi.
 
Sasa watu wakuambie utapandia wapi wakati hujaweka location unayotoka

Anyway, kapande mbezi stand
 
Mimi sijui muda wa kuondoka ila Kuna mabasi kama tahmeed, tashriff, nacharo, raqeeb, moud, msawa I think, Simba mtoto(hamna basi humu labda kama wana mpya hao Simba) nk, nafikiri itakuwa sijakosea...panda tahmeed, nilipandaga kitambo ila Bado naskia yapo fresh na yameboreka zaid, tahmeed zile za kwenda Nairobi.
Sasa na wwe ndiyo unazidi kumpoteza, mtu kasema anaenda Tanga,wwe unamwambia akapande ya Nairobi, Tanga na Nairobi wapi na wapi, bora ungemwambia apande ya Mombasa ashukie Tanga mjini kama anaenda huko,maana hata Handeni bado ni Tanga!!
 
Nenda magufuli bus stand. Kuna mabasi haya in short though the list is not exaustive
1. Raha Leo
2. Tashrif
3. Moud
4. Ratco..most preferred
5. Nacharo.....most preferred

yako mengine lkn haya ndiyo habari ya tanga
Nacharo wamekua waswahili.

Hiyo Moud unyama
 
Mimi sijui muda wa kuondoka ila Kuna mabasi kama tahmeed, tashriff, nacharo, raqeeb, moud, msawa I think, Simba mtoto(hamna basi humu labda kama wana mpya hao Simba) nk, nafikiri itakuwa sijakosea...panda tahmeed, nilipandaga kitambo ila Bado naskia yapo fresh na yameboreka zaid, tahmeed zile za kwenda Nairobi.
Hakuna Raqeeb ya Dar to Tanga.
Raqeeb bus zake zinafanya route za Tanga to Arusha via Moshi.
 
Sasa na wwe ndiyo unazidi kumpoteza, mtu kasema anaenda Tanga,wwe unamwambia akapande ya Nairobi, Tanga na Nairobi wapi na wapi, bora ungemwambia apande ya Mombasa ashukie Tanga mjini kama anaenda huko,maana hata Handeni bado ni Tanga!!
Anaweza kupanda ya Mombasa via tanga...bora yeye ajue anapokwenda.
 
Back
Top Bottom