Dar es Salaam City in Photos

Hujawahi kuona mazingira hayo? Unaweza kukutana na mrembo ukashindwa kuamini anakaa huko!
nishawahi kuona kuna shangazi yangu anaishi manzese kuna mazingira kama hayo...........na ana watoto wazuri balaa uwezi amini kama hao watoto wanaishi uko.
 
Manzese hizo hapo juu mkuu, Huko kwingie pia ukipita usisahau kupiga upost hapa.
Ha ha ha ha ha ha mkuu wewe ni pro photographer hio Manzese ulivyoitafutia timing ya muda, ungepiga mchana mchana hivi tuone yale mabati yenye kutu yanafananaje.
 
Nani Anamiliki eneo lililipo mbele ya Jengo la Golden Jubilee? Au baada ya JEngo la Harbour view kama unaenda Clock tower ?
 
Nani Anamiliki eneo lililipo mbele ya Jengo la Golden Jubilee? Au baada ya JEngo la Harbour view kama unaenda Clock tower ?
Kwa eneo mbele ya Golden Jubilee pale Mtaa wa Ohio? kama hapo basi ni TIB na wanategemea kushusha majengo haya hapa.

Kama eneo kabla ya clock tower itakua NHC.
 
Kwa eneo mbele ya Golden Jubilee pale Mtaa wa Ohio? kama hapo basi ni TIB na wanategemea kushusha majengo haya hapa.

Kama eneo kabla ya clock tower itakua NHC.
Asante sana mkuu tena sana, jee vipi kuhusu Pembeni ya City mall kama unaenda Lumumba mkabala na mnazi 1 grounds
 
Back
Top Bottom