Damu ya hedhi

Twin_Kids

JF-Expert Member
Feb 25, 2016
3,489
5,421
Heri wana jukwaa,
Nina swali la kuuliza.Ile damu ya hedhi ya wanawake,
1. Ina uhusiano wowote na damu ya mwilini? Maana wengine inatoka mpaka unamhurumia,namaanisha kama ikitoka sana hawezi akahitaji kuongezewa damu?!

2.Je,anapokuwa ametoa pad, ile damu ikipimwa,ina magonjwa yanayoambukiza(VVU,Gonorhea,.....)

3.Baada ya mda gani hao virusi wanakuwa hawana madhala kama wamo.

Wenye ujuzi naomba kueleweshwa
 
Hakuna dam za aina mbili mwilin kwahyo kama ana magonjwa na dam hyo lazma inakuwA nayo tuu
 
Hakuna dam za aina mbili mwilin kwahyo kama ana magonjwa na dam hyo lazma inakuwA nayo tuu
Damu hiyo ni tofauti na inakua ni kwa ajili ya kurutubisha mbegu ya kiume iwapo itatokea.

Ingekua damu hiyo hubeba magonjwa yote basi mtoto angezaliwa na maambukizi ila haiko hivyo badala take maambukizi hutokea wakati Wa kujifungua.
 
CityHunter 1 ile damu ya hedhi ni damu ili to Chang's nyuma na baadhi ya vitu vingine maana inatokana na ukuta wa uterus uliyojengwa na mishipa ya damu ya muda tu kwa nguvu ya hormone ktk maandalizi ya kupokea yai lililokutana na mbegu ya kiume ktk mirija.

Huwezi kupima damu huyo kuangalia magonjwa ya vvu au gonorrhea.
 
Damu hiyo ni tofauti na inakua ni kwa ajili ya kurutubisha mbegu ya kiume iwapo itatokea . Ingekua damu hiyo hubeba magonjwa yote basi mtoto angezaliwa na maambukizi ila haiko hivyo badala take maambukizi hutokea wakati Wa kujifungua.
Mtoto hatumii damu ya mama akiwa tumboni!
Kuta za uzazi zinarutubishwa na kuandaliwa kutunza mtoto, ila inapotokea mimba haijatungwa zile kuta hubomoka, ndo hiyo damu iliyochanganyika na virutubisho vya kuta za uzazi inayotoka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…