DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,560
- 3,734
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu.
Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa Mercy mtoto wa Kilimanjaro. Mercy alikua mtoto wa kishua, alikua mwembamba mrefu sura nyembamba ndefu na meno ya kuungua ungua.
Mercy hakua bint wa mambo mengi sana hasa tulipokuwa first year. Tulianza mahusiano yetu nakumbuka ilikuwa mwezi wa kwanza mwaka 2020. Tulikuwa tunasoma koz Moja mimi na mpenz wangu kwahyo most of the time tulikuwa pamoja, disc na hata katika private studies tulikuwa hatuachani kiukweli tulipenda sana.
Sasa kutokana na jinsi nilivokuwa nimemsoma Mercy niligundua sio mtu wa kumuomba show haraka haraka ningezingua pengine ningempoteza kabisa. Mercy alikua mtu wa kusali, mpole lakini mcheshi anaongea alipohitajika kuongea hakuwa mtu wa kuongea ongea hovyo (hii ndo type ya madem naowapenda). Masomo yaliendelea na of course sisi sote darasani tulikuwa poa sana maana hata sup sikuwahi kupata na yeye alipata moja semester ya 3 tu na chanzo ni mvurugano katika mapenzi uliotokea mbele ya safari nitawajuza nini kilitokea.
Siku zilipita miezi ikasogea tukafunga ile likizo fupi ya 3 yeye alienda kwao mimi nilibak mkoan hapo hapo. Kumbuka sikuwa nimeanza kumchombeza kuhusu tendo ila tulikuwa tunafanya soft touches na romance to lakini show no.
Tulipofungua, siku Mercy alipokuwa anarud chuoni nilienda kumpokea stand tulifurah sana kuonana, alikua anapendelea kuvaa suruali na tishirt na raba alikua kapendeza sana kwahyo tulipanda daladala tukapitia town tukapata chakula cha jioni nikamchukulia na yoghurt tukarud chuoni.
Baadaa ya wiki mbili kupita nikaanza kumchombeza kuhusu show mwanzo alikua ananikatalia kabisa anasema mpka ndoa lakini nilikaza sana na mwisho wa siku akanikubalia.
Siku tulopanga twende kugegedana......
Tulipanga ijumaa jioni ya wiki ile twende out town tulale hukohuko. Mimi ijumaa asubuh kwasabb tulikuwa hatuna vipindi asubuh nakumbuka siku ya ijumaa tulikuwa na kipindi kimoja tu mchana. Nilijidamka nikaenda town kubook chumba mapema katika moja ya lodges zilizopo hapo town. Ilikuwa ni lodge ya hadhi japo sio hadhi kubwa ya kivile lakini nilihakikisha natafuta sehem ambayo ingemfamya Mercy ajione no wa thamani. Nakumbuka nililipia tsh 45k ya siku nzima na kulala kabisa.
Nilimaliza mishe mida ya saa5 asubuhi nikachukua key ya chumba nikarud chuo ili kuwah kipindi. Mercy aliuliza mrejesho nikakwambia kila kitu kipo poa akajibu poa na kusema kwamba kazi ipo Leo. Nilisahau kuandika mwanzo, Mercy aliniambia kwamba hakuwa kufanya mapenz kwahyo mimi ndo ntakuwa first kwake, asee nikajisemea nitafanya kila kitu ili nimfungue na niwe mwanaume wake wa kwanza.
Tukutane next episode.......
Muendelezo soma Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy