Spunda jeMgombea wa CCM Mpya asipojisahihisha ataangukia nafasi ya tano nyuma ya Bernard Membe na Prof. Ibrahim Haruna Lipumba.
Na msimamo wa ligi kuelekea Ikulu kwa kuwepo ktk gumzo la kisiasa mwisho wa mwezi huu wa tisa (september) utasomeka hivi (hapo chini) na hivyo mwezi wa Oktoba yote utakuwa mwezi wa kuteseka sana kwa mgombea wa CCM Mpya na wafiaChama wahafidhina wa CCM Mpya:...
It was calculated watu makini tulijua hilo zamani. Alitumika kama diversion ya mkono wa kidhalimu wa tume na dola dhidi ta Lissu akiwambia yeye ni gwiji la ujasusi muwe mnaelewa.So Membe ata drop out?
It was calculated watu makini tulijua hilo zamani. Alitumika kama diversion ya mkono wa kidhalimu wa tume na dola dhidi ta Lissu akiwambia yeye ni gwiji la ujasusi muwe mnaelewa.
Mbona umepanic? Au na wewe ulikuwa umejifunga kibwewe unakatika hapo kirumba?Mkuu tofauti ya mgombea wako na Wale Vijana wa Debatte za O Level Ni Nini?
Kweli mkuu...mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni..Jamaaa yukovizuriFrankly speaking amejieleza vizuri sana
Atafika tu mbona Rungwe Spunda huwa anafika!Hahaha! Membe bana. Hivi atafika hadi mwisho wa uchaguzi kweli?
Sasa hivi yupo ITV....
===
Ikiwa kampeni zinaendelea kupamba moto, vituo mbalimbali vya utangazaji vimeanza kuwahoji baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Urais wa Vyama mbalimbali.
Wiki iliyopita mnamo September 3, ITV ilimhoji Ndugu Tundu Lissu mgombea wa chama cha Chadema. Wiki hii kituo cha ITV kimemkaribisha Ndugu Benard Membe ambaye ni mgombea kiti cha Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Akihojiwa na Mwandishi wa habari Bi. Farhia Middle katika kipindi kinachoitwa Dakika 45 alieleza mambo yafuatayo:
Hizi ni ndoto zako kama za mganga wa kienyeji anapotaka kumuibia mteja wake, Sasa wewe hapa unataka wa Tz waache kufanya wanavyoona wao wafuate mawazo yako ya jinsi ya kula kwenye saccos na kwingineMgombea wa CCM Mpya asipojisahihisha ataangukia nafasi ya tano nyuma ya Bernard Membe na Prof. Ibrahim Haruna Lipumba.
Na msimamo wa ligi kuelekea Ikulu kwa kuwepo ktk gumzo la kisiasa mwisho wa mwezi huu wa tisa (september) utasomeka hivi (hapo chini) na hivyo mwezi wa Oktoba yote utakuwa mwezi wa kuteseka sana kwa mgombea wa CCM Mpya na wafiaChama wahafidhina wa CCM Mpya:
- Tundu Antipas Lissu
- Maalim Seif Sharrif Hamad
- Bernard Carmillus Membe
- Prof. Ibrahim Haruna Lipumba
- John Pombe Joseph Magufuli
Naona mganga wa saccos aliyetengeneza hiyo table ni ya anayeongoza ni mali kuliko nbs aka wazee wa takwimuToo late, Membe amepitwa na wakati. Katika siasa mambo yanakwenda kasi mno huu ni wakati wa Tundu Antipas Lissu.
Lakini ngoja tumsikie mzee Membe alikuwa na maana gani kuanza siasa kimya kimya kiasi anazinduka anajikuta amepitwa kwa mbali hata na mgombea wa CCM Mpya John Pombe Magufuli. Tazama wanaoongoza ktk mbio za Urais kuelekea Ikulu kufuatana na mapenzi na matamanio ya waTanzania.
- Tundu Antipas Lissu
- Maalim Seif
- John Pombe Magufuli
- ...
Kufuatana na matamanio yako hiyo list yako! Cc tunaenda na JPM hata mfanyeje! Ameonyesha njia sana subirin hapa kaz !Too late, Membe amepitwa na wakati. Katika siasa mambo yanakwenda kasi mno huu ni wakati wa Tundu Antipas Lissu.
Lakini ngoja tumsikie mzee Membe alikuwa na maana gani kuanza siasa kimya kimya kiasi anazinduka anajikuta amepitwa kwa mbali hata na mgombea wa CCM Mpya John Pombe Magufuli. Tazama wanaoongoza ktk mbio za Urais kuelekea Ikulu kufuatana na mapenzi na matamanio ya waTanzania.
- Tundu Antipas Lissu
- Maalim Seif
- John Pombe Magufuli
- ...
Yes sahihi mkuu.Kweli mkuu...mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni..Jamaaa yukovizuri
Mkuu kwa hoja ya middlemen membe alikuwa sahihi sana hasa katika suala la mazao mbalimbali.Dah kumbe jamaa ni pumba kweli kweli; anaamini kuwa yeye kasomea kuwa kiongozi wa nchi! Ana maana kuwa waliomfundisha wote ni viongozi wa nchi?....