Uchaguzi 2020 Dakika 45 na Bernard Membe ITV: Baadhi ya mambo aliyoongea

Mgombea wa CCM Mpya asipojisahihisha ataangukia nafasi ya tano nyuma ya Bernard Membe na Prof. Ibrahim Haruna Lipumba.

Na msimamo wa ligi kuelekea Ikulu kwa kuwepo ktk gumzo la kisiasa mwisho wa mwezi huu wa tisa (september) utasomeka hivi (hapo chini) na hivyo mwezi wa Oktoba yote utakuwa mwezi wa kuteseka sana kwa mgombea wa CCM Mpya na wafiaChama wahafidhina wa CCM Mpya:...
Spunda je
 
Dah kumbe jamaa ni pumba kweli kweli; anaamini kuwa yeye kasomea kuwa kiongozi wa nchi! Ana maana kuwa waliomfundisha wote ni viongozi wa nchi? Halafu anaongea uwongo mwingi sana: Kenya Airways inamilikiwa 49% na serikali ya Kenya, Ethiopian Airlines inamilikiwa na serikali 100%, Egyptian Airlines inamilikiwa 100% na serikali ya Misri, Ndege za ATCL zimenunuliwa kiwandani moja kwa moja, hazikutoka kwa middlemen (kangomba) kama anavyosema. Huyu alizoea kula kwa kangomba sasa anaona amebanwa ndiyo maana analalamika, anataka kuzirudisha. Anaongea bila mantiki kabisa, ndiyo maana anajaribu kuongea kiswanglish sana kwa sababu hana mantiki.

Tanzania siyo landlocked country! Ooh My God.

Nimependa tu ile hoja ya uraia pacha; ni hoja nzuri sana na ninaiunga mkono sana ingawa alipokuwa wazir wa mambo ya nje hakuitekeleza. Hata hivyo mimi binafsi nimekuwa napeleka karibu dola 3000 kila mwezi nyumbani bila hata kuwapo kwa huo uraia pacha. Ninajua kungekuwa na uraia pacha labda ningeweza kupeleka zaidi ya hapo kwani ningeweza kutumia opportunities zote zilizoko ughaibuni kuliko sasa.

Mabadiliko ya katiba sawa kabisa. Serikali tatu siyo jambo zuri kwani sasa hivi muungano umekomaa sana kiasi kuwa mtengano wa kijiografia siyo jambo la muhimu tena.


DOA( Dead On Arrival)!
 
Alipaswa amuunge mkono kabla ya kuanza campaigns, akijitoa Sasa itakuwa ni ku-surrender, wafuasi wake watagawanyika Sana.
It was calculated watu makini tulijua hilo zamani. Alitumika kama diversion ya mkono wa kidhalimu wa tume na dola dhidi ta Lissu akiwambia yeye ni gwiji la ujasusi muwe mnaelewa.
 
Hahaha! Membe bana. Hivi atafika hadi mwisho wa uchaguzi kweli?

Sasa hivi yupo ITV....



===

Ikiwa kampeni zinaendelea kupamba moto, vituo mbalimbali vya utangazaji vimeanza kuwahoji baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Urais wa Vyama mbalimbali.

Wiki iliyopita mnamo September 3, ITV ilimhoji Ndugu Tundu Lissu mgombea wa chama cha Chadema. Wiki hii kituo cha ITV kimemkaribisha Ndugu Benard Membe ambaye ni mgombea kiti cha Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Akihojiwa na Mwandishi wa habari Bi. Farhia Middle katika kipindi kinachoitwa Dakika 45 alieleza mambo yafuatayo:

Atafika tu mbona Rungwe Spunda huwa anafika!
 
Mgombea wa CCM Mpya asipojisahihisha ataangukia nafasi ya tano nyuma ya Bernard Membe na Prof. Ibrahim Haruna Lipumba.

Na msimamo wa ligi kuelekea Ikulu kwa kuwepo ktk gumzo la kisiasa mwisho wa mwezi huu wa tisa (september) utasomeka hivi (hapo chini) na hivyo mwezi wa Oktoba yote utakuwa mwezi wa kuteseka sana kwa mgombea wa CCM Mpya na wafiaChama wahafidhina wa CCM Mpya:
  1. Tundu Antipas Lissu
  2. Maalim Seif Sharrif Hamad
  3. Bernard Carmillus Membe
  4. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba
  5. John Pombe Joseph Magufuli
Hizi ni ndoto zako kama za mganga wa kienyeji anapotaka kumuibia mteja wake, Sasa wewe hapa unataka wa Tz waache kufanya wanavyoona wao wafuate mawazo yako ya jinsi ya kula kwenye saccos na kwingine
 
Too late, Membe amepitwa na wakati. Katika siasa mambo yanakwenda kasi mno huu ni wakati wa Tundu Antipas Lissu.

Lakini ngoja tumsikie mzee Membe alikuwa na maana gani kuanza siasa kimya kimya kiasi anazinduka anajikuta amepitwa kwa mbali hata na mgombea wa CCM Mpya John Pombe Magufuli. Tazama wanaoongoza ktk mbio za Urais kuelekea Ikulu kufuatana na mapenzi na matamanio ya waTanzania.
  1. Tundu Antipas Lissu
  2. Maalim Seif
  3. John Pombe Magufuli
  4. ...
Naona mganga wa saccos aliyetengeneza hiyo table ni ya anayeongoza ni mali kuliko nbs aka wazee wa takwimu
 
Too late, Membe amepitwa na wakati. Katika siasa mambo yanakwenda kasi mno huu ni wakati wa Tundu Antipas Lissu.

Lakini ngoja tumsikie mzee Membe alikuwa na maana gani kuanza siasa kimya kimya kiasi anazinduka anajikuta amepitwa kwa mbali hata na mgombea wa CCM Mpya John Pombe Magufuli. Tazama wanaoongoza ktk mbio za Urais kuelekea Ikulu kufuatana na mapenzi na matamanio ya waTanzania.
  1. Tundu Antipas Lissu
  2. Maalim Seif
  3. John Pombe Magufuli
  4. ...
Kufuatana na matamanio yako hiyo list yako! Cc tunaenda na JPM hata mfanyeje! Ameonyesha njia sana subirin hapa kaz !
 
Dah kumbe jamaa ni pumba kweli kweli; anaamini kuwa yeye kasomea kuwa kiongozi wa nchi! Ana maana kuwa waliomfundisha wote ni viongozi wa nchi?....
Mkuu kwa hoja ya middlemen membe alikuwa sahihi sana hasa katika suala la mazao mbalimbali.

Naona alikuwa sahihi kwa upande wangu hoja zake zina mashiko sana.
 
Back
Top Bottom