Dakika 45: Godbless Lema aunguruma ITV

......

.....Mkuu Chakaza watu wameanza kujaa upepo
Mkuu kama kungekuwa na kitu cha kupima channel gani inatazamwa kwa wigi kwa wakati mmoja, halafu kesho saa 3 TBC waseme Majaliwa atahojiwa na huku ITV ni Lema, kipimo kingeonyesha ni kila Tv 100 basi 7 tuu ndio wako TBC.
Hata hawa wa jf ungrwakuta kwa Lema
 
....

.....kweli Mkuu 100% shuhudia kesho hapa hapa J4 ...Makombora ya Lema KITU ingine kabisa
 
Tunasubiria kwa hamu kukusikiliza waziri kivuli wa mambo ya ndani.ninazikubali sana nondo zako.JIPANGE SAWA SAWA ufikishe ujumbe wako vizuri.
 
Back
Top Bottom