Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,974
- 9,334
Wewe huwezi kukamata sukari iliyofichwa hadi utuachie wanaume?Ole wako nisikie unadai usawa wa kijinsia.Mambo ya wanawake tuachiwe wanawake. Wanaume jishughulisheni na kukamata sukari iliyofichwa na wafanyabiashara.