Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,560
- 8,289
Tatizo wanatamaa. Wanawataka wazee wenye familia zao kwa kuwa tu wanamagari, wanawakataa vijana wenzio. Unategemea nini hapo 🤣Dada zetu mtalea sana watoto peke yenu na kujipa usingo mother usio na sababu, kumbukeni kuwa kuzaa ni mipango ya watu wawili mama na baba.
Sasa unakutana na binti kaanzisha tu mahusiano na mume wa mtu pasina kufikiria chochote yeye chap kwa haraka akili zinamtuma ili kumkama huyu jamaa ni kumzalia mtoto.
Huku mitaani kumezagaa sana watoto wasio na baba, ukifuatilua kwa ukaribu unagundua kuwa, baba aliikataa mimba kwa sababu hakushirikishwa yeye aliambiwa tu nina mimba yako.
Narudia tena mtaelea sana watoto wasio na baba, na mtaitwa sana singo mother, shirikisheni wapenzi mlionao kabla ya kubeba mimba ili kujua utayari alionao.
Kuna wakati sisi wanaume tunakuja kwenu kwa ajili ya kupata utelezi tu, hakikisheni mnachukua tahadhari zote ili kujiepusha na kadhia ya usingo mother.
Halijanikuta lolote dada yangu, ni ushauri tu natoa kwa dada zetu, wanahangaika sana huku mitaani. Katika kila nyumba tano zenye mabinti basi kuna wawili au mmoja aliekumbwa na hii kadhia.Pole kwa yaliyokukuta Mkuu.
Hakuna mtoto asie na baba, wamezagaa wasioishi na baba zao.Huku mitaani kumezagaa sana watoto wasio na baba,
Fyatueni Watoto Bibi/Mama/Dada/Shangazi/Binamu zangu maana maisha hayana kanuni.Dada zetu mtalea sana watoto peke yenu na kujipa usingo mother usio na sababu, kumbukeni kuwa kuzaa ni mipango ya watu wawili mama na baba.
Sasa unakutana na binti kaanzisha tu mahusiano na mume wa mtu pasina kufikiria chochote yeye chap kwa haraka akili zinamtuma ili kumkama huyu jamaa ni kumzalia mtoto.
Huku mitaani kumezagaa sana watoto wasio na baba, ukifuatilua kwa ukaribu unagundua kuwa, baba aliikataa mimba kwa sababu hakushirikishwa yeye aliambiwa tu nina mimba yako.
Narudia tena mtaelea sana watoto wasio na baba, na mtaitwa sana singo mother, shirikisheni wapenzi mlionao kabla ya kubeba mimba ili kujua utayari alionao.
Kuna wakati sisi wanaume tunakuja kwenu kwa ajili ya kupata utelezi tu, hakikisheni mnachukua tahadhari zote ili kujiepusha na kadhia ya usingo mother.
madem wa hivyo kumbe wapo mpka leoDada zetu mtalea sana watoto peke yenu na kujipa usingo mother usio na sababu, kumbukeni kuwa kuzaa ni mipango ya watu wawili mama na baba.