Dada aangua kilio kwenye ghetto baada ya mshikaji kumwambia alikuwa anataka kupima oil tu

Halafu hii gia ya kuowa nishawamega wadada kama 50 duh! nawaonea huruma lakini. Wengine niliwagegeda bila ya ahadi yoyote dadeki kuwa tozi ndani ya jiji.

Ndukiiiii
Na unawapata vi.laza kweli...! Mwanaume akija na gia ya kuoa hua ata simuamini. Yaani anajiharibia mwenyewe ata kama atakuja kutaka kuoa kweli huko baadae
 
Tukiwa ughaibuni, shost alikuwa second year anasoma software engineering, yeye ametokea Congo Brazzaville ya wakati ule. Kila akipiga hesabu za kurudi nyumbani hajakamilisha malengo na shule ndiyo imebadi mwaka mmoja. Tulikuwa tunashare nyumba na kijana wa ki-Italiano basi shost akaanza uhusiano na Italian man akijua karatasi liko njiani, jamaa aliienjoy mwaka mzima, imefika wakati anarenew visa anamwambia si tuaoane ili nipate visa ya ndoa. Italian man alicheka sana akasema "I was just having a good time". Mdada chozi, haamini.
Mwaka mmoja mdada anamegwa tu,halafu sisi tukimega miezi kadhaa eti mtu anataka nimuoe,thubuutuuu....
 
Yaani mapaka nimetokwa na machozi na mie!!!
Ivi kwanini kuchezea akili za wadada jamani!!! Wanaume wengine wana roho mbayaa!
Mlivyo wa ajabu,ukiolewa na mtu mwingine halafu huyo aliyekutenda akija akikupmba msamaha,unamkubalia awe anamuibia mumeo kwakigezo cha "MUNGU HAKUPENDA MIMI NAWEWE TUOANE".Wanawake bhana.
 
Na ajabu kweeli! Mi kuna limoja limenitafuta leo eti amenimisi... Yaani nimeshindwa cha kumjibu! Inakera sana
 
Ndiyo hivyo,ukianza kukosa cha kujibu ujue unaanza kusamehe taratibutaratibu,akikazana mumeo ahesabu maumivu endapo kama umeolewa.Na akikazana sana mumeo anawez a akatunza watoto ambao siyo wake.Wanawake bhanaaaa....
 
Ni rahisi sana kumrudia mtu ambae ashaona u.chi wako!!! Ni Mungu tu na msimamo ulioje ndo unasaifia kutofanya hivyo
 
Hizo ndo stol wanazopenda wavulana wa wa jf utakuta kimtu kinachekelea mpaka jino LA mwisho.
Hii ndio sekta pekee ambayo watanzania wengi wanaijua kuielezea na kuifahamu, ingawa ni dhambi kuhamasisha ama kuunga mkono mambo kama haya! Kwa hiyo tuwaachie tu waendelee kujifariji na kushadadia.
 
Wanawake wenzangu kuanzia sasa hakuna kugawa papuchi hata walie vp, anaetaka kipochi manyoya aende nyumbani akakilipie amwite shekhe ama padri pale kanisani ndio tufunue papuchi mana wanaume wanaona sisi ni visima kwa ajili ya kuoshea marungu yao na huyi kaka atajuta baadae atakapokutana na mcharuko mwenzake
 
Kuna Makamanda wanafanya hayo yote mwisho akila mzigo anapotea jiiii
 
Wanawake wenzangu kuanzia sasa hakuna kugawa papuchi hata walie vp, anaetaka kipochi manyoya aende nyumbani akakilipie amwite shekhe ama padri pale kanisani ndio tufunue papuchi mana wanaume wanaona sisi ni visima kwa ajili ya kuoshea marungu yao na huyi kaka atajuta baadae atakapokutana na mcharuko mwenzake
Mums Popote ulipo agizia soda hapo Kwa mangi
 
Back
Top Bottom