Daah Nimefika Dar es Salaam mbona sifa nilizozipata ni tofauti

Subiri mvua inyeshe kwa wingi then uangalie nyodo zao na makazi yao kama yanalingana ukiachilia mbali kukanyanga vinyesi vya maji machafu Dar. Hakika huwa najivunia sana home Mwanza aka Ng'wanza
 
Mbezi Ya Kimara Kubwa. Luis,Makabe Goba,Msumi,Kwa Yusufu,Msigani,Malamba,Kibanda. Alafu Labda Mgeni Au Sio Mtembeaji Huwezi Kuacha Kupajua Kwa GODI!!
Mimi n mwenyeji labda sio mtembezi nimeamia kimara nikiwa darasa la tatu mpaka sasa mtu mzima.
 
Hahaha..wa mkoa umeingia jijini. Jijini kuchafu hamna kitu kipya huko....endelea kuijaza Dar
 
labda kaishia kiluvya, wakamdanganya kuwa hapa ndo darisalama, then akageuzia palepale kurudi kwao koromije.
 
Back
Top Bottom