CZI: BAVICHA wamekosa dira, Mbunge wa Arusha anatorosha madini, Bunge lilibariki kivuko MV. Dar..

Swala la kivuko kubarikiwa na bunge siyo hoja! Ni kwa nini kinunuliwe kivuko kibovu ambacho kwa sasa hakifanyi kazi, wabunge kama waliambiwa kitanunuliwa kivuko kipya ambacho walikuwa na uhakika kuwa kitadumu wangewezaje kupinga? Tunaona kabla ya kivuko kuletwa walikuwa sawa kukubaliana na hilo lakini kivuko kikaletwa kibovu, je wanyamaze?
Lowassa,Mbowe kumiliki majumba ya kifahari na kusomesha watoto nje ya nchi hoja hii imekaa kipashkuna kwani ni vigogo wangapi wa ccm wenye majumba ya kifahari na shule zaidi ya hawa, ni kwa nini hamkuwataja! Mnatafuta kick...hampati!
 
Haya bana sisi tupooo,tunaomba mungu atuweke tuone mengi serikali hii,ila jaman vjana wa lumumba tafadhali mtupe dira ya nchi sasaa maana daaah mnachosha kwa porojo in short hamueleweki kabisaaa yani mnajificha ficha tu kuanzisha vitaasis vya ajabu ajabu na kuvitolea tamko.poleni vijana wenzangu ila sidhani kama nyi ndo wale mnaotajwaga kua vijana nguvu ya taifa
 
Nchi ambayo vijana wanapoteza mwelekeo haina future!
Sad but true, vijana wengi wa Tanzania wanaitendea ndivyo sivyo nchi yao wenyewe.
Sijui kama wajukuu hawatakuja kutuuliza maswali ambayo tutayakimbia.

Bonge la pointi, Tanzania inaweza kuwa na laana sio bure, yan vijana hatuna akili kabisa.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

19/05/2016

Habari za asubuhi ndugu waandishi wa habari,natumaini kwa nguvu zake mwenyezi mungu mko salama.

Ndugu watanzania na wanahabari Taasisi yetu CZI inawashukuru kwa kuja kuungana nasi kwenye mkutano huu ambao unalenga kujibu kile kilichozungumzwa na Baraza la vijana wa Chadema kuhusu rais wetu John Pombe Magufuli.CZI tumesikitishwa na kauli ya upotoshaji wa makusudi uliosemwa na Baraza la vijana CHADEMA mbele ya wananchi kupitia vyombo vya Habari,kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali,Uchagauzi Mkuu wa
Zanzibar,Sakata la Vitambulisho vya Taifa,Ununuzi wa RADA,na kile walichosema Bunge kulinda wala rushwa.

KUKOSA DIRA BAVICHA.

Kwa miaka mingi tangu kujiondoa kwa Dr Slaa na ZITTO KABWE, tumeshuhudia Baraza la vijana CHADEMA na Chadema yenyewe,wakikosa maono na kuendelea kuamini kuwa kuna baraza la vijana chadema ni kukosa maono,kwani taasisi gani haina njia mbadala za kuzungumza hadi wasubiri matukio,ili yawape promo. CZI tunaamini kuwa taasisi safi na thabiti hubuni njia mbalimbali za kuwasaidia katika mapambano yao,na siyo kusubiri matukio.

Akizungumza na waandishi wa habari afisa habari na mahusiano Gaudency Tungaraza amesema Bavicha wa sasa hawana dira ,kwani kiongozi shupavu
huonyesha uwezo wake katika kusaidia jamii isiyoelewa.Wananchi wa vijijini wanakufa na njaa,serikali inapambana na rushwa, na mafisadi, serikali inapambana na kuimarisha huduma za afya, Elimu Madawati, lakini wabunge wao UKAWA wanalilia bunge kuonyeshwa live,huu ni kukosa maono kwa kupindukia na ndio maana chama cha kinakosa watu makini na matokeo yake wanashindwa kuzalisha viongozi makini na bora.

Aidha Tungaraza amesema,tangu kuondoka kwa dr Slaa BAVICHA NA CHADEMA wamekosa dira na maono na sasa wanafanya kazi kwa matukio hasa baada ya rais wa awamu ya tano Mhe John Pombe Joseph Magufuli kuziba mianya yote ya ufisadi,safari za nje,rushwa,na madawa ya kulevya.

Ndugu wananchi na wanahabari CZI tunawashauri Bavicha wafanye kazi ya kumsaidia rais wa awamu ya Tano bila kuangalia itikadi za vyama katika
mapambano dhidi ya wahujumu uchumi,wafanyabiashara wasio na maadili,na wamuunge mkono ikibidi waandamane kuunga mkono juhudi za rais kuondoa
safari za nje.

KUHUSU JAJI MKUU

Aidha CZI tunawataka Bavicha warudi shule kwani kumtuhumu JAJI Mkuu Othumani Chande kuhusu sheria ya mitandaoni ni kuonyesa namna walivyoshindwa shule kwani sheria ile ni nzuri na imesaidia kupunguza matumizi mabaya ya watu hususani wale ambao ni wanachama wa CHADEMA.Mfani ni bora na wa karibuni ni yule msichana aliyedharirishwa na picha yake kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na vijana ambao wanasadikika kuwa ni wanachama wa BAVICHA kutoka mkoa wa Morogoro, ambao wamekamatwa juzi na vyombo vya Dola.

CZI tunampongeza Jaji Mkuu kwa kauli yake kwani watanzania hasa vijana wa BAVICHA wameshindwa kutafasri maana ya mitandao ya kijamii na badala yake wamekwa wanaitumia kwa kutukana watu na kuwadharirisha bila sababu za msingi, na tunaiomba serikali kuongeza adhabu kwa wale wanaopatikana na hatia ya kuwadharirisha wengine kupitia mitandao ya kijamii,adhabu iwe kifungo cha maisha jela na kwa kuanza waanze na hao
waliombaka msichana na kusambaza kwenye mitandao ambao ni wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

KUHUSU UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI.

CZI tunaaamini kwamba UKAWA hawana kumbukumbu na tumeshangazwa na hotuba ya kambi ya upinzani Bungeni kwa kuzungumzia uuzwaji wa nyumba hizo.tunawakumbusha UKAWA na James Mbatia kwamba suala la kuuza nyumba za serikali waziri mkuu wa awamu ya tatu kwa miaka kumi Fredrick Sumaye alikuwa analisema kila siku na kila wakati na kama Mbatia anahitaji maelezo ya kina aende kwa Mhe Sumaye ambaye sasa ni mjumbe wa kamati kuu CHADEMA na mgombea urais wa UKAWA mwaka 2020.

Mwaka 2002 mpaka 2004 serikali iliuza nyumba za serikali 7921,na hadi mwaka 2008 serikali wakati huo waziri mkuu akiwa Fredrick Sumaye ambaye sasa ni mwanachama wa Chadema,ilikuwa imejenga nyumba 650 tu, tunawataka UKAWA wamuulize Sumaye juu ya suala hilo kwani rais wa sasa ambaye alikuwa waziri wa ujenzi hakuwa bosi isipokuwa Sumaye ndiye alikuwa bosi wake na ndiye aliyesaini uuzwa wa nyumba hizo.

Aidha baada ya Sumaye kumaliza kipindi chake iliingia awamu ya nne ambayo waziri mkuu wake alikuwa Edward Lowasa aliyerithi mikoba ya uuzwaji wa nyumba za serikali ambaye aliendelea kubariki hizo nyumba kuuzwa hadi alipotumbuliwa na serikali ya awamu ya nne kabla ya kukimbilia UKAWA bila kuwashirikisha wadau na kumpelekea Dr Wilbroad Silaa kujitoa CHADEMA.

KUHUSU KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM.

Tunawashauri UKAWA waende kwenye sheria ya manunuzi wajue nani aliyeshauri kununuliwa kwa kivuko hicho ambacho hata Bunge lilibariki na ndilo lilipitisha ununuaji wa kivuko hicho na si waziri ambaye sasa ni rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Tunamshauri James Mbatia aende kwenye asadi za bunge aangalie kwa umakini nani alipitisha ununuwaji wa kivuko hicho.

Tunawashauri UKAWA waulize ufisadi wa NSSF wa bilioni 180 ambazo zilipotea kwa uongozi uliopita lakini pia UKAWA wahoji kiwanja kimoja kule Arumeru pamoja na KIGAMBONI kununuliwa kwa milioni 800 .tunashangaa UKAWA kuhoji mambo ambayo yalifanyika awamu ya nne na kuyaleta awamu ya tano lakini pia tunatambua urafiki wa James Mbatia na serikali iliyopita ambayo ilimpa hata ubunge wa viti maalumu na sasa anajifanya kipofu haoni madudu yaliyofanywa katika kipindi hicho.

KUTENGANISHA BIASHARA NA SIASA.

CZI tunaunga mkono kutenganisha biashara na Siasa kwani baadhi ya wabunge wa upinzani wanasahau kuwa mwenyekiti wao wa CHADEMA,Freeman Mbowe na Edward Lowasa ni wafanyabiashara wakubwa ambao pia walikuwa miongoni mwa wale ambao hawakuwa wanalipa kodi.Freeman Mbowe anaendesha ukumbi wa Disco pale Posta kwa miaka mingi,pia anamiliki majumba ya kifahari QATAR na anasomesha watoto Marekani kalo kwa mwaka mmoja milioni 100, Lowassa anamiliki mashule ya sekondari ambapo ada kwa mwaka ni milioni 50 lakini pia Lowasa anamiliki majumba makubwa na maghorofa makubwa katikati ya jiji ikiwemo barabara ya Ali Hassan Mwinyi.

Edward Lowassa anamiliki majumba afrika kusini na Uingereza lakini James Mbatia bado haoni hayo yote anaona kivuko cha kigamboni ambacho yeye kama mbunge wa viti maalumu katika serikali ya awamu ya nne alishiriki kupitisha ununuzi wa kivuko hicho.

CZI tunaomba James Mbatia na UKAWA waende tume ya maadili kuangalia uadilifu wa viongozi wao kuanzia Sumaye,Lowasa,Mbowe,Lema na Kingunge,ambapo Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekuwa anajihusisha na biashara haramu ya kuuza madini ya Tanzanite na kuyapeleka Kenya na India pamoja na kuhusika na uuzaji wa magari ya wizi katika maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi.

CZI tunaiomba serikali kumfuatilia Godbless Lema kujua namna anavyofanya hizo biashara zake na kama analipa kodi kwani kwa uzoefu inaonyesha Lema amekuwa anafanya biashara bila kulipa kodi na ni moja ya wanasiasa ambao kwenye tume ya maadili hajaonyesha mali anazomiliki.

Ndugu wananchi na wanahabari kwa maslahi mapana ya nchi yetu tunapenda tu kuwaambia kwamba james Mbatia ametumika na Freeman Mbowe kuiua NCCR Mageuzi na sasa ameendelea kuhakikisha kuwa anaimaliza kabisa na yeye kutangaza rasmi kuhamia CHADEMA mwishoni mwa mwaka huu.

Ndugu waandishi wa habari CZI tunawashauri UKAWA waende tume ya maadili kuuliza utajiri wa mawaziri wa serikali ya awamu ya tano badala ya kuendelea kuzungumzia upotoshaji ambao hawana uhakika nayo na tumekwa tunawafuatilia namna wanavyojipanga kupotosha umma baada ya rais kuwabana kila kona.

Ndugu wananchi na wanahabari,CZI tunawataka wapinzani kuwa wakweli kwani yale yote ambayo walikuwa wanayapigia kelele ndio ambayo rais wa awamu ya tano anayafanyia kazi yakiwemo safari za nje,posho za bunge,viongozi wanatumia uongozi kwa maslahi yao,elimu bure,pamoja na
nidhamu ya watumishi wa umma.

MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA MIEZI 7 YA UTAWALA WAKE.

Rais kwa kipindi kifupi cha utawala wake wa miezi 7 amefanya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuongeza ukusanyaji wa mapato nchini kutoka bilioni 900 kwa mwezi kwa serikali ya awamu ya nne hadi tilioni 1.5 kwa mwezi kwa serikali ya awamu tano.wapinzani hilo hawalioni wanatafuta makosa ya serikali iliyopita wanamtwisha serikali ya awamu ya tano,tunawashauri wananchi muwapuuze UKAWA kwani wamegeuka na sasa
wameungana na mafisadi kumhujumu rais Magufuli.

Rais wa awamu ya tano ameondoa michango yote shule za msingi na sekondaria ambayo ilikuwa kero kubwa kwa wazazi na wananchi kwa ujumla ,na kupitisha elimu bure kwa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne,bado ukawa hawaoni hili.tunatambua changamoto zilizopo lakini hata ROMA haikujengwa kwa siku moja.

Rais Magufuli amejenga barabara ya Mwenge - Morocco kwa gharama za serikali yenyewe bado ukawa hawaoni,na barabara ya mwanza mjini hadi uwanja wa ndege mwanza hayo ni mafanikio makubwa kwa utawala huu,lakini ukawa hawaoni.

Rais wa awamu ya tano amehakikisha hospitali ya taifa muhimbili inakuwa na vitanda na amefanikiwa kwa hilo ikiwemo hodi ya wazazi muhimbili,ambapo leo ukienda muhimbili wagonjwa wote wanalala kwenye vitanda pamoja na wakina mama wanajifungulia kwenye vitanda,lakini wapinzani hawaoni haya.

Serikali ya awamu ya tano imesitisha dhifa zote za kitaifa zikiwemo sherehe za kitaifa ambazo ukawa waliyapigia kelele sana leo hawana cha kukosoa wanakimbilia kwenye hoja nyepesi ndugu wananchi tunaomba muwapuuze na muendelee kumuunga mkono rais magufuli.Serikali imeokoa kiasi cha Tilioni moja kwa mwaka katika kitendo chake cha kusitisha sherehe na dhifa za kitaifa,

Serikali hii ya awamu ya tano kupitia wizara ya mambo ya ndani imedhibiti uingizaji wa madawa ya kulevya pamoja na ufanyaji wa biashara haramu ya binadamu,kwa kiasi kikubwa hali kwa wauza dawa za kulevya ni mbaya lakini ukawa hawaoni haya.

Ndugu wanahabari ,Kupitia wizara ya mambo ya ndani serikali ikalitumbua jipu la NIDA ambalo lilikuwa SUGU kutumbuliwa pamoja na pale uhamiaji lakini ukawa hawaoni hilo la upotevu wa mabilioni ya pesa zaidi ya bilioni 180 ambazo zililiwa NIDA lakini ukawa hilo hawalioni na wanajificha kwenye kivuli cha mafisadi na kuanza kuikejeli serikali.

Ndugu wananchi CZI tunahoji kwa nini UKAWA hawahoji ufisadi wa NIDA? UFISADI wa NSSF? UFISADI wa Uhamiaji? pamoja na rushwa kubwa kubwa za utakatishaji wa Fedha haramu .tunajua kuna watuhumiwa tayari wako mahakamani ambao wanamahusiano na LEMA,LOWASA,na MBOWE kwa hivyo hawawezi kuhoji kwa kuwa wanajua wameguswa kupitia watu wao ambao wamekuwa wanajihusisha na ufisadi wa rasilimali za umma.

CZI tunawataka wapinzani wahoji namna maalim SEIF alivyojitangaza kushinda na kuvunja katiba ya ZANZIBAR pamoja na kwamba wanajua maalim Seif alivunja katiba ya SMZ lakini kwa kuwa wanatafuta umaarufu hawataki kusema ukweli badala yake wanapotosha umma.

Maazimio ya CZI

1.Tunaomba Serikali iwafuatilie kwa karibu mbunge wa Arusha mjini kuhusu biashara zake anazofanya za kuuza na kutorosha madini ya Tanzanite kupitia uwanja wa ndege wa KIA.

2.Tunaomba serikali ipitie biashara za Edward Lowasa yakiwemo mashule na ile ya Simu kujiridhidha kama wanalipa kodi.

3.Tunashauri na kuomba serikali imuite freeman Mbowe mwenyekiti wa Chadema Taifa kuhusu biashara zake anazofanya nje ya nchi pamoja na kumbi zake za starehe ukiwemo CLUB Bilicanas,

4.Tunaomba serikali iangalie upya mtandao wa utakatishaji wa fedha haramu ambapo baadhi wako kwenye vyombo vya dola na CZI tunaamini wengine bado wapo nje wanatamba na kutanua.

5.Tunaomba serikali ilichunguze na kuwafuatilia kwa mara nyingine mtandao wa majangiri wa Meno ya Tembo kwani tunaamini wapo wengi na vigogo na wengine wako kwenye vyama vya siasa.

6.Serikali iangalie na kufuatilia mtandao wa madawa ya kulevya kwani bado kuna watu wengi wapo hawajakamatwa na ndio wanashiriki kuihujumu Serikali kupitia baadhi ya wadau wa serikali na wanasiasa.

7.serikali ifuatilie shirika la ndege ATCL kwani tunaamini kuna ufisadi mkubwa pale.

8.Serikali ifuatilie UTT pale nako kuna JIPU.

9.Serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani ,Katiba na sheria,na biashara waangalie na kupitia makampuni yote ya kigeni na ndani ili kujiridhisha kwani CZI tunaamini kuna madudu huko.

10.Serikali isiliache tu juu suala la NSSF tunashauri ipitie upya miradi na ufisadi uliofanyika kwenye taasisi hiyo pamoja na ile ya vitambulisho vya taifa NIDA ili waliohusika wakamatwe na kupandishwa kizimbani,kwani tunaamini wale waliosimamishwa ndio wanashiriki kuleta madhara kwa serikali kupitia pesa zao walizoiba serikali.

Imeandaliwa na Gaudency Tungaraza, Afisa Mahusiano wa CZI, Makao Makuu Dar es salaam.. Na kusomwa kwenu na kaimu Afisa Habari CZI Augostino.
WTF.........yaani ndugu mwandishi hivi Dr slaa na Zitto kabwe wameondoka lini Chadema kiasi cha kusema miaka mingi?kama

pole sana mwandishi wa habari hii nadhani vyumba mirembe hospital bado vinahitaji watu maana Raisi mtukufu wa Tanzania alinunua vitanda vingi sana......sasa hivi Dr slaa na mh Zitto kabwe waliondoka lini chadema mpaka kusema miaka mingi?
kuhusu sheria ya mitandao hivi unadhani kuna jaji ambaye anaweza sema sheria ile ina makosa deep inside anajua inataka kandamiza lakini hawezi sema kitu
 
Kwa njia za wenzetu watu wanaoandika porojo,,,unafiki,,wifu,, habari za kupika pika zisizo na Tija kwa Taifa......hawaruhusiwi kuishi.....
 
Yaani mnatudanganya mchana kweupe kweli!?.... Maskini hawajui hata muundo wa serikali na nani boss wa serikali!

Just imagine, wanatuambia wakati wa zoezi la uuzwaji wa nyumba, eti Frederick Sumaye ndiye alikuwa boss wa serikali na kwa hiyo aulizwe yeye, maana yake ndiye aliyekuwa Rais wa nchi hii!!

Unajua ni ngumu sana kuukanusha ukweli na bado wewe ukaonekana una akili timamu. Ndiyo hawa wanaojiita CZI!!
 
UKAWA wataipata mwaka huu. Wataishia kutukana tu. No sera no haja.
Wewe ndo yule Afisa Wa CZI? Mbona matamko yako hayana kichwa wala miguu, kuanzia lile ulitoa wiki Jana kuhusu Lipumba na hili Leo Bavicha, hivi huko chuo ulienda kusomea nn? Kwa sababu hujafuta ujinga wala kuelimika Bali umeongeza umbumbumbu
 
Enzi za kikwete vijana walikuwa wanalipwa ili washinde mtandaoni kutetea ufisadi wa ccm,LAKINI ENZI ZA MAGU naona kaanzisha tuvikundi twa kumpamba na kutetea madudu yake,NCHI HII INASAFARI NDEFU SANA KUVIKUTA VIWANDA VILIPO
 
Yaani mnatudanganya mchana kweupe kweli!?.... Maskini hawajui hata muundo wa serikali na nani boss wa serikali!

Just imagine, wanatuambia wakati wa zoezi la uuzwaji wa nyumba, eti Frederick Sumaye ndiye alikuwa boss wa serikali na kwa hiyo aulizwe yeye, maana yake ndiye aliyekuwa Rais wa nchi hii!!

Unajua ni ngumu sana kuukanusha ukweli na bado wewe ukaonekana una akili timamu. Ndiyo hawa wanaojiita CZI!!
Mkuu hawa CZI wamekosa njia za kujitangaza sasa wameamua kutokea huku kwenye siasa, wiki Jana ilikuwa Lipumba Leo Bavicha tusubiri kesho sijui watakuja na nini, ovyoo kabisa hawa
 
Enzi za kikwete vijana walikuwa wanalipwa ili washinde mtandaoni kutetea ufisadi wa ccm,LAKINI ENZI ZA MAGU naona kaanzisha tuvikundi twa kumpamba na kutetea madudu yake,NCHI HII INASAFARI NDEFU SANA KUVIKUTA VIWANDA VILIPO
Ha ha mkuu viwanda tuliahidiwa ndani ya miaka hii mitano tutakuwa watu Wa viwandani
 
Propaganda at work....hawataki aguswe mtumbua majipu, mwaka huu tutashuhudia vituko vikubwa zaidi tulivyoviona katika serikali ya JK. Kabla ya yote tatueni hili la sukari...watu wanadai chai huku mtaani
 
Iko poa sana tena kwenye hayo maazimio ili tuendelee kuheshimiana mtaani
 
Hawa jamaa hata kama ni kujipendekeza huku kumezidi sasa

Au labda wanakazi maalum wametumwa.

1. Hawa ndiyo "think tank" wa serikali ya John Pombe Magufuli.....washauri wake!!

2. Hawa ndiyo wana propaganda wa kitengo cha propaganda chini ya Kinana na Ole Sendeka na CCM yao!!

3. Unaweza kupata picha halisi ya kwa nini nchi kwa sasa iko kwenye full chaos na kama haijulikani exactly tunakoelekea wapi!!

4. Wasome tena na tena uone wasivyokuwa na uelewa wala ufahamu wa mambo especially wa namna structure/muundo wa serikali ulivyo!!

5. Wanatuambia eti wakati wa utekelezaji wa sera ya CCM ya kuuza nyumba za serikali, "boss" wa serikali alikuwa Frederick Tluway Sumaye kwa hiyo aulizwe yeye na siyo Mkapa au Kikwete na msimamizi wa sekta ya nyumba Bwana Magufuli wakati huo kama waziri wa wizara husika!!

Lol!....hawa jamaa ni vilaza kweli kweli. Na hata wanahabari waliohudhuria ktk mkutano huo naamini nao ni vilaza kwelikweli!!
 
Back
Top Bottom