Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 813
- 2,133
Aisee nimepata changamoto kisimbuzi changu hakioneshi licha ya kuwa katika same settinf kwa zaidi ya mwaka ghafla tu kikaanza kukata ikifika usiku na kurudi hewani pakikucha. Ikaenda zaidi ikasema invalid cam module detected.
Nikasema niwasiliane na Azam TV customer care. Zile simu zao nimepiga wamenizungusha na kubonyeza minamba tu wala hamna option ya kuongea na mtu moja kwa moja, yaani wame automate whole thing.
Inasikitisha sana kwa sababu nimejaribu hiyo WhatsApp yao wamenitumia general fault tena za Dish na mie natumia antenna, hata aina ya kisimbuzi changu hakipo kwenye list yao wakati ndio latest kabisa. Kwanini Azam hawataki kuwasiliana na mteja moja kwa moja maana sio kila tatizo utapata msaada kwenye menu ya huduma.
Pia anaejua ku solve hii error 69 anielekeze natumia antenna.