Hahah halafu kuna watu wanashinda kumtukana Raisi wa JMTZ wakifikiri itawasaidia chochote, kumbe wanazidi kubomoa nyumba yao wenyewe!
Hapa suluhisho ni maalim na mbowe na mbatia waunde chama kimoja kitakachounganisha vyama vyote vya upinzani ikiwezekana mpaka ACT hapo tuone kambaya atavuna nini 2020.
Hawa kina maalim wakiendelea kumchekea lipumba 2020 CUF itazikwa rasmi bara maana upinzani hauwezi kushinda ukigawanyika
Time will tell
Mkuu, umemsahau Lowasa, sumaye na kingunge. Hapo upinzani ndo utanoga.Hapa suluhisho ni maalim na mbowe na mbatia waunde chama kimoja kitakachounganisha vyama vyote vya upinzani ikiwezekana mpaka ACT hapo tuone kambaya atavuna nini 2020.
Hawa kina maalim wakiendelea kumchekea lipumba 2020 CUF itazikwa rasmi bara maana upinzani hauwezi kushinda ukigawanyika
Time will tell
Uongo utakusaidia nini ? Hivi Mtu duni kama Kambaya na Fukara Lipumba wanaweza kuupoteza upinzani wa nchi hii ?upinzani full kupoteana, tatizo kwenye vyama hivyo kuna wenye uchu wa madaraka, miaka yote lipumba, hamad, mbowe majina haya mpaka yaondoke kwenye nafasi za juu za vyama vyao ndio upinzani utasimama tena. hili chama nalichukia lakini naangalia hakuna hata pa kukimbilia. hakuna tena chadema ya john mnyika, dr slaa, halima mdee, zito kabwe. kwakweli imebaki historia. mlifanya kazi kubwa sana. nini kimewanyamazisha ghafla?
Hao sio viongozi wa chama chochote hapa Tanzania hivyo hawana uwezo wa kuamuru vyama vyao vifutwe na msajili wa vyamaMkuu, umemsahau Lowasa, sumaye na kingunge. Hapo upinzani ndo utanoga.
Una maana ya yule propesa mwizi wa ruzuku!! pole sana ndugu hata familia hana na hawezi kulea!! Mwivi tu!! huyo anayesaidiwa na dolaLipumba namkubali sana yani, kampatia kabisa huyu maalim mbabaishaji.
Ata awe analala nje mimi namkubali hayumbishwi na Sultan wa Pemba, kudos Profesa.Una maana ya yule propesa mwizi wa ruzuku!! pole sana ndugu hata familia hana na hawezi kulea!! Mwivi tu!! huyo anayesaidiwa na dola
Upo sahihi mkuu.mpaka leo sielewi kwa nini sefu alikua anachelea kuitisha kikao cha kubariki kujiuzulu kwa lipumba.Alishaambiwa zaidi ya mara 3.Maamuzi madogo ya kuthibitisha kujiudhuru kwa Lipumba wakati suala la kujiudhuru kwake likiwa la moto limewaghalimu na litawaghalimu CUF na UKAWA milele.
' for many events, roughly 80% of the effects come from 20% of the causes.' Pareto principle inatafuna upinzani.
Umoja huu ungekuwa na Maono ungeiona 2017+ mwaka 2015 siku lipumba anaondoka na kukubali resignation yake kipindi hichohicho.
ulimfukuza wewe?Kambaya alishafukuzwa cuf kitambo sana , gogo lilishakatwa kilichobaki ni kuanguka tu .
Wananyonywa nini mkuuInaonekana CUF wananyonywa ndani ya UKAWA.
Afadhali sultani wa pemba kuliko mzilankenda wa rwanda wa baraAta awe analala nje mimi namkubali hayumbishwi na Sultan wa Pemba, kudos Profesa.