Ni bora usijiumize kichwa.. Kwasababu nafikiri hayo maelezo niliotoa ni kwa wenye uelewa mkubwa zaidi kuliko wewe...1. kwahiyo ukiibiwa na wewe unaiba? kufanyiwa kosa hakukupi uhalali kufanya makosa.
kwa akili yako Ghadafi, Saddam Hussen, Assad, Nkrunziza nk walipractice/wanaplactice democracy?
2. Yanayoendelea Zanzibar kwako yanaleta maana? (ccm haiwezi kuachia madaraka katika sahan au kwa njia za makaratasi....nini maana ya kauli hizi?
Hata hivyo nimtazamo wako na nisiiumize kichwa changu kwa maelezo duni uliyotowa.