barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,377
- 29,738
Nakubaliano na hoja yako na namsifu sana kwa kuimarisha upinzani na kukiweka chama tawala kilale na jicho moja wazi, ila kwa jinsi mauzauza anayofanya sasa nashawishika kusema Dr. Slaa ndiye aliyeimarisha upinzani, huwezi amini nilikuwa namsapoti mpaka alipobadili gia angani.Unafki wake ni upi..... embu jiulize wakati anapewa uenyekiti chadema ilikuwa na hali gani na sasa ina status gani??? Hauoni efforts zake kuimarisha upinzani hapa TZ?? Kila mtu ana madhaifu ya kibinadam ila kwenye nafasi yake ya uenyekiti kaitendea haki sana maana bila kustand strong chadema ingekuwa imekufa zamani sana ukizingatia nguvu ambayo ccm wametumia kuiua chadema kuanzia kupandikiza migogoro na propaganda za ukanda na udini ambazo zilichangia kuiua cuf hku bara but kwa mbowe ziligonga mwamba..... so kma wanachadema wenyewe wanamtaka bado sioni sababu kwanini ccm mhangaike naye sana
Unafiki wake ni kutokuwa na msimamo, akisema kitu kumbe hamaanishi. Aliujenga upinzani na Slaa ukawa imara ghafla akaja haribu kwa kupokea watu aliowaponda kuwa ni mafisadi na kuwaita ni wakombozi.