CUF ya Lipumba wakiri kutuma watu kwenda katika Mkutano Vina Hotel

CUF ya Lipumba wamekiri vijana wao walivuruga mkutano uliosababishwa waandishi wa habari kupigwa, Hayo yamesemwa na Abdul Kambaya mmoja wa wanakambi wa upande huo.

Anasema walipigiwa simu na waandishi wa habari kuwa kuna mkutano unaendelea na wakasema hapana, ndipo waliwatuma vijana wao kwenye mkutano huo

Kabla hawajafanikiwa kuingia ndani wakaanza kupigiwa kelele za kuitwa wezi, kikao hicho kilikuwa haramu na vijana hao walikuwa ni walinzi wa CUF na sio watu wasiofahamika kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti

Amesema pia CUF imegawanyika pande mbili ila CUF yao ndio inaendesha chama kwa mujibu wa katiba na sheria chini ya Profesa Lipumba na CUF ya Maalim seif inayoendesha chama kwa kesi mahakamani

Huyu jamaa anatuhaibisha sana vijana, hakijui hata anachokiongea. Mpuuzi tu. Ukiangalia video na anachokinena ni vitu viwili tofauti. Mpuuzi tu
 
CUF ya Lipumba wamekiri vijana wao walivuruga mkutano uliosababishwa waandishi wa habari kupigwa, Hayo yamesemwa na Abdul Kambaya mmoja wa wanakambi wa upande huo.

Anasema walipigiwa simu na waandishi wa habari kuwa kuna mkutano unaendelea na wakasema hapana, ndipo waliwatuma vijana wao kwenye mkutano huo

Kabla hawajafanikiwa kuingia ndani wakaanza kupigiwa kelele za kuitwa wezi, kikao hicho kilikuwa haramu na vijana hao walikuwa ni walinzi wa CUF na sio watu wasiofahamika kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti

Amesema pia CUF imegawanyika pande mbili ila CUF yao ndio inaendesha chama kwa mujibu wa katiba na sheria chini ya Profesa Lipumba na CUF ya Maalim seif inayoendesha chama kwa kesi mahakamani

Mungu anijalie kuiona kesho Bwana Yule anaondoshwa na kupotezwa CUF sijui hawa akina KAMBAYA watakimbilia wapi...!!?
 
Lkn CUF ya Maalim kama kawaida yao watashinda
Serikali ilimpa hela nyingi sana Rashid Mohamed aanzishe chama kipya,wakitarajia kwa sababu na yy ni kigogo Pemba watafanya wagawane kura na CUF ili at least CCM ipate kiti Bungeni kule Pemba lkn wakanyolewa na sana sana kumpooza Rashid akapewa Uwaziri ktk serikali ya hovyo ya Dr Shein!
CUF itamuondoa Prof Lipumba-vu ingawa sasa anakula sana hela za CCM

Profesa kajipatia mradi wa kutafuna pesa.
Mtu yeyote makini anaelewa profesa hamwezi Maalimu hata kwa dawa.
 
Huyu kijana anapata wapi ujasiri wa kudanganya umma kwa kitendo kibaya kilifanywa na wale anaowaita vijana wao waliowatuma ambao ni walinzi kuwa walianza kupigwa wenyewe kabla ya kufanya chochote, ameenda mbali zaidi kumtetea yule aliyekatwa kisigino kuwa alivamiwa na kuanza kukatwa mapanga, je ameangalia huyo mlinzi wao jinsi alivyoingia na kuanza kunasa watu vibao waliokuwa kwenye kikao? naomba aliyenayo aiweke hapa.

Kweli huyu kijana anajaribu kutetea aliyejaa roho ya umwagaji damu.

Polisi kama hamtamchukulia hatua kali huyu Kambaya basi nitaamini kuwa swala hili mnalijua na mmeliratibu ninyi.

Vijana wa CUF wanaruhusiwa kufanya doria? Doria hufanywa na polisi si chama cha siasa
 
Huyu kijana anapata wapi ujasiri wa kudanganya umma kwa kitendo kibaya kilifanywa na wale anaowaita vijana wao waliowatuma ambao ni walinzi kuwa walianza kupigwa wenyewe kabla ya kufanya chochote, ameenda mbali zaidi kumtetea yule aliyekatwa kisigino kuwa alivamiwa na kuanza kukatwa mapanga, je ameangalia huyo mlinzi wao jinsi alivyoingia na kuanza kunasa watu vibao waliokuwa kwenye kikao? naomba aliyenayo aiweke hapa.

Kweli huyu kijana anajaribu kutetea aliyejaa roho ya umwagaji damu.

Polisi kama hamtamchukulia hatua kali huyu Kambaya basi nitaamini kuwa swala hili mnalijua na mmeliratibu ninyi.

Ugaidi huanza polepole
 
Back
Top Bottom