Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Sasa polisi wanasubiri nini kuwakamata kama wamekiri wenyewe. Au wanajua siyo walinzi ni wenzao?CUF ya Lipumba wamekiri vijana wao walivuruga mkutano uliosababishwa waandishi wa habari kupigwa, Hayo yamesemwa na Abdul Kambaya mmoja wa wanakambi wa upande huo.
Anasema walipigiwa simu na waandishi wa habari kuwa kuna mkutano unaendelea na wakasema hapana, ndipo waliwatuma vijana wao kwenye mkutano huo
Kabla hawajafanikiwa kuingia ndani wakaanza kupigiwa kelele za kuitwa wezi, kikao hicho kilikuwa haramu na vijana hao walikuwa ni walinzi wa CUF na sio watu wasiofahamika kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti
Amesema pia CUF imegawanyika pande mbili ila CUF yao ndio inaendesha chama kwa mujibu wa katiba na sheria chini ya Profesa Lipumba na CUF ya Maalim seif inayoendesha chama kwa kesi mahakamani
CUF ya Lipumba wamekiri vijana wao walivuruga mkutano uliosababishwa waandishi wa habari kupigwa, Hayo yamesemwa na Abdul Kambaya mmoja wa wanakambi wa upande huo.

Kwa nini wavalie kinija kama walikwenda kwa nia njema?CUF ya Lipumba wamekiri vijana wao walivuruga mkutano uliosababishwa waandishi wa habari kupigwa, Hayo yamesemwa na Abdul Kambaya mmoja wa wanakambi wa upande huo.
Anasema walipigiwa simu na waandishi wa habari kuwa kuna mkutano unaendelea na wakasema hapana, ndipo waliwatuma vijana wao kwenye mkutano huo
Kabla hawajafanikiwa kuingia ndani wakaanza kupigiwa kelele za kuitwa wezi, kikao hicho kilikuwa haramu na vijana hao walikuwa ni walinzi wa CUF na sio watu wasiofahamika kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti
Amesema pia CUF imegawanyika pande mbili ila CUF yao ndio inaendesha chama kwa mujibu wa katiba na sheria chini ya Profesa Lipumba na CUF ya Maalim seif inayoendesha chama kwa kesi mahakamani
Thubutu!Watafungwa vizuri hawa.
Harufu ya UGAIDICUF ya Lipumba wamekiri vijana wao walivuruga mkutano uliosababishwa waandishi wa habari kupigwa, Hayo yamesemwa na Abdul Kambaya mmoja wa wanakambi wa upande huo.
Anasema walipigiwa simu na waandishi wa habari kuwa kuna mkutano unaendelea na wakasema hapana, ndipo waliwatuma vijana wao kwenye mkutano huo
Kabla hawajafanikiwa kuingia ndani wakaanza kupigiwa kelele za kuitwa wezi, kikao hicho kilikuwa haramu na vijana hao walikuwa ni walinzi wa CUF na sio watu wasiofahamika kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti
Amesema pia CUF imegawanyika pande mbili ila CUF yao ndio inaendesha chama kwa mujibu wa katiba na sheria chini ya Profesa Lipumba na CUF ya Maalim seif inayoendesha chama kwa kesi mahakamani
Magaidi mafunzoniKwa nini wavalie kinija kama walikwenda kwa nia njema?