Polis na wanajeshi wametoka bara hata pesa za Uchakachuaji pia hivyo ndivyo vinawahusu ?Naibu katibu mkuu wa CUF bara SAKAYA hajui hata katiba ya CUF wala ya muungano.Yeye ni nani kuongelea mambo ya Zanzibar? Na ndio maana walimpa unaibu katibu mkuu bara.Uchaguzi wa Zanzibar hauwahusu watanzania bara.Kumwita Raisi wa Zanzibar Raisi haramu ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi huru ya zanzibar ambayo ina naibu katibu mkuu wake wa CUF wa Zanzibar.
SAKAYA hakutakiwa kupora madaraka ya naibu katibu mkuu wa CUF zanzibar na kuyaongelea ya Zanzibar.
SAKAYA asiwachokoze wazanzibari.Wao hawajawahi tamka kuwa magufuli ni raisi haramu wala kutukana kiongozi yeyote wa bara aliyechaguliwa kuwa ni haramu.Wazanzibari wakimbadilikia Sakaya mimi simo kayataka mwenyewe kuingilia mambo ambayo hata Magufuli hayaiingilii kwa kuwa anajua ni kuvunja katiba.