CRDB ni Jipu jingine linahitaji kutumbuliwa!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,680
8,868
CRDB mpsipo angalia mnaweza kuwa kati ya mabenki yaliyoanguka kwa kushindwa kuhudumia wateja!
Haiingii akilini kila siku ATM zenu ndo hazina network!

Watu watakimbia maana hata ukienda ndani watu ni wengi teller mmoja!

Au mnaona raha pale watu wanapokuwa katika msururu mrefu?

Nasikitika kama hamtajirekebisha mtabaki wasindikizaji
 
Kila kitu limekuwa jipu?? sasa kama hilo kutumbua unaanzia wapi? maana halioneshi hata mdomo,siyo yote ni majipu ya ndan
 
Moja ya benki zinazofanya vizuri sana nchini lakini cha ajabu wameshindwa hata kufungua branch pale nairobi,kimei kashaishiwa pumzi,
 
Jipu la ttcl likishatumbuliwa itakaa vizuri maana ttcl ndo service provider nafkiri
 
Wezi tu hawa! Wamenikata 900/= eti gharama ya atm min state (3x) tar 09 Nov, 2015 wakati hata sikuwepo Tz!! CRDB andaeni maelezo ya kutosha niko njiani naja vinginevyo ntawaburuza mahakamani kwa wizi!! Nna bank statement inayoonyesha hayo makato ilhali binafsi sikutumia hiyo huduma!
 
Wewe nani alikwambia ni Benki binafsi hii ni mali ya serikali na kimei ni muajiriwa wa BOT kabla yakuja kuifufua CRDB

Wewe nani alikwambia ni Benki binafsi hii ni mali ya serikali na kimei ni muajiriwa wa BOT kabla yakuja kuifufua CRDB

Duh! Kumbe, kwa muda mrefu nimekuwa nikijua ni privately owned commercial bank. Kuna muda nilijipa ka homework kujua background ya crdb sababu nilipeleka barua ya maombi ya kazi, maeneo mengi ilielezewa kama benki binafsi.
Mfano hii site, zipo na zingine:

CHEKI HII LINK.

Kimei labda alifuata greener pasture!
 
Serikali ina share. Wananchi nao wana share
 
Duh! Kumbe, kwa muda mrefu nimekuwa nikijua ni privately owned commercial bank. Kuna muda nilijipa ka homework kujua background ya crdb sababu nilipeleka barua ya maombi ya kazi, maeneo mengi ilielezewa kama benki binafsi.
Mfano hii site, zipo na zingine:

CHEKI HII LINK.

Kimei labda alifuata greener pasture!

Crdb ni public limited company,mtu yoyote anaweza akanunua hisa na kumiliki sehem ya crdb,
Na ndio mana share zao ziko traded kwenye dar es salaam stock exchange
 
Duh! Kumbe, kwa muda mrefu nimekuwa nikijua ni privately owned commercial bank. Kuna muda nilijipa ka homework kujua background ya crdb sababu nilipeleka barua ya maombi ya kazi, maeneo mengi ilielezewa kama benki binafsi.
Mfano hii site, zipo na zingine:

CHEKI HII LINK.

Kimei labda alifuata greener pasture!
Serikali ina hisa 51% hivyo ni mali ya serikali period!!
 
serikali itambe kuwa na 51????.
Danida devpt agency ndio wanashare nyingi.
NSsf
na community +wananchi ndio wanashare.....serikali imdire

Bora uwaambie manake kuna michango mingine ni sawa na stori za kwenye kahawa.
 
Wezi tu hawa! Wamenikata 900/= eti gharama ya atm min state (3x) tar 09 Nov, 2015 wakati hata sikuwepo Tz!! CRDB andaeni maelezo ya kutosha niko njiani naja vinginevyo ntawaburuza mahakamani kwa wizi!! Nna bank statement inayoonyesha hayo makato ilhali binafsi sikutumia hiyo huduma!

I say, tena umenikumbusha wamenikata bank charges mara mbili kwa mwezi mmoja! kumbe huo ndiyo mtindo wao wa ujanja eeeeeh.
Mimi kwa mara hii nawasamehe lakini wakinikata tena hata kama ni sh 1,500 nitawakomalia.
 
Back
Top Bottom