Couple mpya mjini, Aslay na Rubi

hao ni watanzania
young kiler na mis hip hop ni wanamuziki au ndio nayasikia leo hayo majina
Young killer ni msanii wa hip hop alitokea fiesta super nyota, "DEAR GAMBE " Ni moja ya vibao vyake , mm sio mpenzi wa hip hop lkn huyu dogo namsikilizaga yupo vizr
 
Rubby alishaachana na Soud Brown cku mingi

Dogo Ashley piga mambo hiyoooo piga mambo hiyoooooooooooooooo
 
Rubi ndio nani?
upload_2016-6-13_8-40-41.jpeg
 
Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay ambazo zinatafsirika kama wapo kwenye mahusiano. Haijajulikana kwa mara moja kama ni kiki au ni serious ni wapenzi ila hii ndio ishu inayo trend kwa sasa
eb29e15a71349fc620c0e243f048fa76.jpg
141a3879e74f9f43ae990e1509994176.jpg

Hii ndio "couple mpya" mliyokuwa mnaizungumzia?

Kundi la YAMOTO BAND wameungana na RUBY kukuletea wimbo wao mpya SUU...

Pakua hapa Suu Ft. Ruby - Mkubwa Na Wanawe

Yamoto Band Ft. Ruby -  Suu (1).jpg
 
Kweli kila mtu na chaguo lake.. yaani huyu Rubi kweli
Rubby alishaachana na Soud Brown cku mingi

Dogo Ashley piga mambo hiyoooo piga mambo hiyoooooooooooooooo
ila mkuu hawa watoto walikuaje wakaimba wanaogopa kupwelepweta ilihali wamengia mulemule kwa wazee
yaani huyu Dada Ana damu ya kunguni cjui yaan.ckapendi tu mungu anisamehe
Hii ndio "couple mpya" mliyokuwa mnaizungumzia?

Kundi la YAMOTO BAND wameungana na RUBY kukuletea wimbo wao mpya SUU...

Pakua hapa Suu Ft. Ruby - Mkubwa Na Wanawe

View attachment 356172
Mission accomplished.
 
Back
Top Bottom