Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,719
- 215,811
- Thread starter
- #81
Matatizo tunajiachiaga sana ukiwa na boyfriend, mwisho anarelax wala wazo la kuoa hana, si anapata kila kitu bwana.Hamna sababu ya kuweka kijiti ukiwa na boyfriend cause hata kuonana ama kusex frequency yake sio sawa na wanandoa so mnawezafuata calendar or mkatumia condom kama una wasiwasi wa tareh