Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,785
- 2,824
Habarini Wakuu!!!!
Nahitaji mwenye Connection ya Ajira kwa nchi hizi (Canada, Dubai, Qatar, Denmark, Finland, Iceland, Norway,Sweden).
Kama mnavyojua Bongo ajira ni kipengele kidogo, Sasa katika kuangalia mtandaoni naona wenzetu Wakenya wanasafiri sana nchi hizo kwenda kufanya kazi, na siku hizi hata wa Malawi wanatupita kwa kwenda kuhangaikia Fursa huko Nje ya Nchi.
Hivyo ndugu zangu, kama una Agent unamjua au website nzuri unaijua ambao wanatoa fursa za ajira kwa nchi hizo naomba tufahamishane hapo chini kwenye comment au pia DM.
Level yangu ya Elimu ni Masters. Naweza kufanya skilled na Unskilled jobs pia bila kuchagua. Cha muhimu hela iingie.
Shukran.