It is insanityThe most suprising thing to me is that if you have a dormant company in tz, you can file nil returns lazima ulipe tax even without doing business, very funny
It is insanityThe most suprising thing to me is that if you have a dormant company in tz, you can file nil returns lazima ulipe tax even without doing business, very funny
Unajuwa nimegunduwa watanzania wengi hawana taarifa kuhusu nchi yao. Sijuwi kosa ni serikali au ni la watu wenyewe. Ule mgodi wa Nickel JPM alikwemda akasema mwekezaji aondoke ili tanki la maji liwekwe pale juu. Tatizo pale lilikuwa sio mradi wa maji, tatizo ni malighafi iliyopo pale chini na wawekezaji walio kimbilia kujimilikisha wakati wa JK. Kama watu hawajuwi, nickel ndio mtaji wetu mkubwa wa kututoa shimoni kuliko gesi. Tunavyo kwenda mbele maisha ya kila mtu duniani yatategemea uhifadhi wa umeme. Kuanzia matumizi ya nyumani mpaka kwenye biashara. Badala ya hiyo hela kuja kwetu moja kwa moja, eti ipite kwa mwekezaji halafu mwekezaji atuchezee mchezo wa kitoto wa kusema anakula hasara, hayo ndio tusiyo yataka.Hizo ni "assembly plants", Tanzania tumejikita katika "manufacturing plants".
Watengeneza magari sisi ndiyo tutawapa malighafi, mfano tuna kiwanda kikubwa sana cha chuma kinamea hapo Bagamoyo, unafikiri wateja wake ni akina nani?
Kuna kiwanda kikubwa sana cha "batteries" za kipekee kinakuja karibuni Tanzania, malighafi ya hizo battery ipo Tanzania. Zitatumika hususan kwa magari ya kutumia battery kama chanzo kikuu cha nishati. Unalijuwa hilo? Au nikumwagie data?
Viwanda ambavyo vipo njiani kuwekwa Tanzania ni ajabu kwa Afrika, kumbuka hilo.
Hata mimi nimeliona hilo, PR kwetu bado. Sio kama hakuna kinachofanyika lakini taarifa ni finyu sana. Na waandishi wetu sio wachokozi wa kujuwa mambo, wengine wanatafuta story za haraka haraka bila kuenda deep na kutangaza nchi yao vyema.Mwanzi1 tatizo hivi vitu havitangazwi vizuri, PR kwa serikali zetu za Tz imekuwa shida sana, wanaweza fanya mambo mengi mazuri ila kama watu wa PR hawako active watahukumiwa vibaya baadae.
Si bora hilo li-PHD linasaidia kuleta vitu vina-boost investment? Mfano infrustructures. Akibahatika second term awekeze ktk reliable energy na mengineyo. Hilo PHD lina guts za kufanya mahamuzi magumu lakini muhimu. Tusubiri baada ya miaka 15 - 25 ndio tutaona hizi makitu anafanya. Itakuwa ukijenga kiwanda cha ku-process beef au maziwa DODOMA unapakia ktk train ya mwendokasi unapeleka DSM na nchi jirani. TZ hakuna chama cha upinzani kilichoiva tayari kushika usukani(nchi). Tulidhania CDM itafaa lakini ilikuja kuvuruga kila hope tuliyokuwa nayo juu yake na sasa watu tumebaki hopeless. Tunashabikia rambi rambi na kwenda msibani sijui Neyo wa Mitego badala ya kutumia hiyo nguvu kwenda kuomba kufuta au kupunguza utitiri wa kodi na tozo za kijinga kila kona. Kwanini hao wapinzani wasiende bungeni kupigia kelele hizi kitu badala ya kulilia wapewe kuongea msibani na kumlilia Wema Sepetu kaonewa. Sasa hii movement ya kumshabikia Wema Sepenga imeishia wapi? Hii ndio akili yetu ni vile tunapigwa bao mambo ya msingi kama Sera bora za kuvutia Investment.Ujui uhusiano wa siasa viongozi na uchumi pole sana kwani hiyo miaka CCM aikuwepo CCM ni tatizo kuu tz
Nakuunga mkono hapa mkuu,Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Kwahiyo hampandi daladala? Njoo Daslamu uone foleni hadi keroLol kenya annually imports 119,000cars of this 25,000 are Brand new
Ethiopia Is second with only 3000 brand new and 25,000 imports
Mtaishi mkisema wakenya ni Maskini Lakini Umaskini wetu sio wenu!!
Umenifunua uelewa wangu. Sikulifahamu hili kwa jicho la ziada.Hizo ni "assembly plants", Tanzania tumejikita katika "manufacturing plants".
Watengeneza magari sisi ndiyo tutawapa malighafi, mfano tuna kiwanda kikubwa sana cha chuma kinamea hapo Bagamoyo, unafikiri wateja wake ni akina nani?
Kuna kiwanda kikubwa sana cha "batteries" za kipekee kinakuja karibuni Tanzania, malighafi ya hizo battery ipo Tanzania. Zitatumika hususan kwa magari ya kutumia battery kama chanzo kikuu cha nishati. Unalijuwa hilo? Au nikumwagie data?
Viwanda ambavyo vipo njiani kuwekwa Tanzania ni ajabu kwa Afrika, kumbuka hilo.
achana na huyo mzembe tu wakufikiri.Unaweza usipoteze ila ukachangia kupoteza! Ingekuwa haupotezi majaji, wanajeshi na watu wengine wangeruhisiwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa!
Lakini hao watu hawaruhusiwi kwa kuamini itikadi ya chama inaweza kupunguza ufanisi wa kazi!
Kwa hiyo kwa namna moja ama nyingine ukada unaweza kuchangia kupunguza ufanisi!
Hii ni kwa vyama vyote, sio pinzani wala tawala!
sawa mheshimwa bashiteWewe ni janga kwa familia yako.
Press Release - Daimler India Commercial Vehicles
Mombasa, Kenya / Kawasaki, Japan / Chennai, India – Daimler Trucks Asia and its Kenyan partners Simba Colt and AVA (Associated Vehicles Assemblers) have celebrated the start of CKD production of the all-new robust FUSO range at the AVA assembly plant in Mombasa, Kenya.
Mr. Marc Llistosella, President and CEO of MFTBC and Head of Daimler Trucks Asia: “This start of production in Kenya underlines our commitment to further developing the African market as part of our global growth strategy. It also marks another significant development of Daimler’s business on the continent just weeks after the grand opening of the Daimler’s regional center in Nairobi, which brings us closer to our commercial vehicle customers in East, Central and West Africa.”
Mr. Erich Nesselhauf, Managing Director and CEO, Daimler India Commercial Vehicles: “We have been successfully exporting completely built-up all-new robust FUSO vehicles from India for almost three years – and now we enter the next stage with the assembly of vehicles in Africa, for Africa.”
Tata Africa Holdings, a subsidiary of Tata International, is planning to set up a motor vehicle assembly unit in Kenya to enhance presence in the east side of the continent.
Tata Africa plans to assemble pick-ups and light commercial vehicles to compete against Chinese and other international manufacturers, the Business Daily newspaper said.
“At this point of time, we do not wish to comment on this,” a Tata Africa Holdings spokes-person told DNA Money.
Currently Tata Motors operates in Africa through Tata Motors (SA) (Proprietary), a joint venture with Tata Africa Holding (Pty) Ltd.
However, it is not clear whether the new assembly plant in Kenya will be a joint venture project between Tata Motors and Tata Africa
Hzo ni within Kenya ...why do i even bother !! Ptoh!!Acha uongo wewe.
Low appetite for imports helps narrow Kenya’s trade deficit
By Dominic Omondi | Updated Thu, January 19th 2017 at 00:00 GMT +3
Volume of vehicles sold last year plunged 30 per cent, with the industry selling about 13,535 units compared to 19,523 units a year earlier.
Low appetite for imports helps narrow Kenya’s trade deficit
Eti kwa sababu tu ni mng'oa kucha bila ganziUmeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.