Comando from Tanzania episode three

lay off that reply button for a minute bruh, like 10 times you quoting me, whats good? nimeboeka nikaona niwatafash kidogo, I know y'all a sensitive bunch especially when one mentions those actors you call soldiers. Question chief, hivi wapi wata apply hizo tactics except bar brawls na kuzima fujo mtaani?
Tanzania fujo mtaani zinatulizwa Na jeshi la polisi (FFU) sio JWTZ

Shame on you..! Hii sio kenya
 
Hahahaha acting? are you serious ? Unadhani JWTZ Ni Kama wanajeshi wenu mayai?

Unahaki ya kusema hivyo maana wanajeshi wa Kenya hata gwaride hawajui..!!

haaaaaaaaaa, such a funny fruit, mentioning JWTZ na KDF in the same sentence.
 
Tanzania fujo mtaani zinatulizwa Na jeshi la polisi (FFU) sio JWTZ

Shame on you..! Hii sio kenya

Najua hio sio Kenya, watu wana act alafu mnakuja hapa kusifia, mna mchezo sana nyie ny.umbu
 
JWTZ my army.
1960- 2000,This were the Golden Era for jwtz, from king's african rifles to jeshi la wananchi wa Tanzania.

Nazikumbuka enzi hizo.

Mungu awalaze mahala pema askari, wapigania uhuru wote waliokufa katika viwanja vya mapambano dhidi ya ukoloni, ukabila, ubeberu na udhalimu.
 
oya kuja pole pole, wapasua matofali hao wanamtisha nani? iliwachukua mda gani ku cram hizo moves mkuu? yani actors kabisa, hapo jeshini mna acting school? nimeona talanta mbili tatu hapo kwa hao waigizaji. hahaha am no whore.
Hayo ni Maonyesho ya sarakasi za kijeshi kwenye tv.
 
Lakini ni afadhali actors wetu wazalendo kuliko wale wanajeshi walioiba vitu kwenye mall kule westgate na kunywa pombe.
Kama wetu ni wazalendo wa kweli je wangekubali kupewa vyeo vya kisiasa na wanasiasa? Tazama wakuu wa wilaya na mikoa.
 
Back
Top Bottom