Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,295
- 122,539
mbona AB-Tichaz amenipata? labda kwa sababu ni "Ticha"? Nitarudia tena poleple kwa faida wengine..
Labda unazeeka vibaya mzee....Lol
mbona AB-Tichaz amenipata? labda kwa sababu ni "Ticha"? Nitarudia tena poleple kwa faida wengine..
Labda unazeeka vibaya mzee....Lol
..labda umesahau kuvaa dentures zako, maana unamung'unya maneno! hueleweki!!
..wewe hapo ndio unataka kuanzisha ugomvi kwa kusakizia na kutuchonganisha!! Nyani ngabu, todayz worst person in the world.
Mwanakijiji acha story zako, toa ufafanuzi...nasubiria!
a. Kutakuwa na tafrija ya Old School kule Columbus OH kuanzia Ijumaa ile ya tarehe 4-6. Hiyo ndiyo main course. Pembeni yake kuna vikachumbari kibao mojawapo ni:
b. "A Gathering of Friends"; an off-oldschoolparty gathering of friends of KLHN na wale ambao tumekuwa tukizungumza kupitia kwenye mtandao na kwa simu na hatujawahi kukutana. Zaidi ya yote ni mkusanyiko wa kusupport KLHN na shughuli zake tunapojiandaa kwenda hatua ya pili. itakuwa ni muda wa kufurahi pamoja, kucheka, kufahamiana na zaidi ya yote, just kuwa kijiweni na kupiga soga, no speeches just a "meet and greet".
c. Hiyo Gathering itafanyika kwenye hoteli mojawapo hapo Columbus. It'll be a casual, non-political, and non-partisan gathering. Lengo kubwa zaidi ya kusupport financially KLHN ni pia kukutana na watu ambao tumekuwa tukiadmiriana (mtakoma kwa kiswakinge hicho); na tutakuwa na muda wa kuenjoy a few drinks (soft), pizza, chit chat n.k Hadi wale wanaokwenda kwenye kuboogie boogie wataenda wakiwa wametinga "viwalo" vyao vya miaka ya "Umkomboti"
d. Kwa vile hiyo gathering ni private (not for the whole public) basi kupata mwaliko wa wapi itafanyika na kuanzia saa ngapi (itakuwa hiyo Jumamosi) mchango wa dola 40 unatakiwa. Huo ni mchango tu wa kusaidia kuoffset baadhi ya gharama KLHN ita incur lakini pia kutuwezesha kufanya makubwa huko mbeleni.
e. Kwa vile lengo hasa siyo kutengeneza fedha, kuna nafasi zisizozidi 20 tu kwa wale wanaotaka tukutane. Nafasi hizo hadi sasa zina watu 7 na hivyo 13 tu zimesalia.
f. Kwa anayetaka kushiriki na kujaza nafasi hizo zilizosalia wasiliana nami kwa PM hapa, au kwa email mwanakijiji-at-klhnews.com au kwa simu 1 248 556 6748. Kwa ambaye anataka kuwahi na kupata ingia moja kwa moja kwenye klhnews na kwenye button ya "Support KLH News" ingiza mchango wake. I am the only one who knows who is who and who contributed what. Hivyo all your information is in strick confidence.
g. Deadline kwa yeyote anetaka kuja ni hii Jumatatu ili niweze kuhakikisha nimeconfirm kila kitu. Njia pekee ya kufanya hivyo ni kulock your booking by donating to KLHN si chini ya hiyo dola 40.
h. Ingawa kuna watu walishauri nitafute kaukumbi kakubwa kidogo au niandae mahali pa kuhost watu wengi zaidi, kwa sasa SIWEZI kufanya hivyo kwa sababu ambazo mtu yeyote anaweza kuzifikia.
Natumaini nimeweza kujieleza vizuri.
Naomba msaada ya kuonyeshwa (jina na address) hotel ya karibu na eneo la tukio na bei ya kusababu ili niweze kufanya reservation japo wiki kabla .Tutakuwa kama mtu nne hivi kwa hiyo..................ndio vile.
Kwa habari ya KLHN tutatoa kidogo kitu kuunga mkono.