Sisi huku Coca tunaitumia kutolea kutu nakufungulia nati za gari zinapokuwa ngumu😂😂😂 Hivi hapo ukiinywa tumboni inafanya nini?? 😂😂😂 Drinking CocaCola your drinking your way to the grave 😂😂😂😂Coca cola will always have a special place in people's hearts.
Soda zote za Pepsi hutaste funny.
Weka Fanta na Mirinda kwa shelf moja, na hakuna ambaye ana akili timamu ambaye atanunua Mirinda.
Kama Pepsi iko mbele ya Coca cola Tanzania, it's all about their distribution and not the product.