Club ya muziki ya Wadutya imekithiri kwa matukio ya ubakaji

(1) ulijuaje kama huyo mdada alianda kubakwa?

(2) tutajuaje kama wewe sio
mshindani wa wadutyakibiashara?

(3) kama ulihisi mazingira hatarishi kwanini hauku toa report kituo cha police?

(4) kwanini unatumia nguvu kubwa kwa kuipakaza wadutya ilhali ulikua na uwezo wa kuwajuza wahusika ikiwa kama ulitazama sinema ilivyo jiri?

(5) kama wewe ni mwenyeji wa hapo home kitaa mbona haukuweza kutoa taarifa kwa kituo kwa wakati husika wa tukio?
Naongezea tena. KICHWA CHA HABARI KIMEONYESHA KUWA UBAKAJI UMEKITHURI, LAKINI AMETOA TARIFA YA MTU MMOJA TU, TENA ANAHISI TU KWAMBA ALIENDA KUBAKWA.
 
Police watajuaje Kama hamna anaye report? Na wanaume Wa geita mshakuwa kama wanaume Wa Dar msichana anatekwa na kubakwa mnatizama tu Kama scorpion

Sasa wewe mwanaume/mwanamke wa wapi?
Maana kila mtu anawaandama wanaume wa Dar Au wivu wa wanaDAR salama
 
Majibu
1. Mkuu hawa jamaa sio mara yao ya kwanza wao kila wakija wanabeba mwanamke na kutokomea nae we hata kama ukiwa mwehu unadhani wanaenda kumpa maji ya uzima kule wanaknendanae?

2.Sina jinsi ya kuwathibitishia ila unavyofikiria sivyo.

3.Kwani aliekwambia pale nilikuwa mwenyewe nani? Kwanini wengine wote washindwe kutoa taarifa halafu mimi nijifanye kisebengo?,

4. Mkuu hata picha huoni? Unakumbuka nini unaposikia neno BASHITE na chanzo cha BASHITE ni nini kama sio choko choko za madawa ya kulevya? Nadhani umeshanielewa kuwa ningefanya kama unavyotaka wewe huenda muda huu ningekuwa mochwari.

5.REJEA JIBU NAMBA 3
Walienda kumbaka!!!!! Umejuaje hata kama kuna tabia hiyo ya kubaka je ulijuaje au unaassume mambo??? Bora ungeandika kama assumption ili nasi tutoe mawazo sio kuripoti in confidence kwamba walienda kumbaka au unless una taarifa kwamba alipopelekwa walimbaka. Anyway tunashukuru kwa taarifa
 
Mkuu hapa hatuangalii upinzani tunaangalia utu kwanza kama utu hakuna hakuna maana ya kuwepo kwa kilabu cha muziki kama hiki.
Mkuu acha majungu kama uhalifu unafanyika nje ya ukumbi sio makosa ya wenye ukumbi.kama una bar yako iboreshe sio kuleta majungu
 
nyie ngosha wa ushirombo achen huo ubibi hawo jamaa wanateka mabint kila siku munawangalia tu wambie watembelee mara
 
Hapana mkuu kipindi mimi natia timu pale wadutya nilimkuta huyu msichana yeye pekee na hili swala la kubakwa wa wanawake hapa sio la leo bali toka awali huu ni utaratibu tu waliojiwekea hao jamaa wanakuja wanamchukua msichana wanaemtaka kisha wanaenda kumbaka.
Labda ni kale kautaratibu kenu ka usukumani kanakoitwa CHAGULAGA kame advance hadi club, c unajua tena mambo ya kingosha yako juu awamu hii?
 
Mkuu wewe unataka mimi nife? WEWE WATU WAPO ZAIDI YA 7 AISEE MADHARA WATAYAONA HAPO BAADAE ILA HATA KAMA UNGELIKUWA NI WEWE IM SURE USINGETHUBUTU.
Yan ni kati ya mazezeta mliokubuhu anachukuliwa hapo mbele yako ulishindwa vp kutoa taarifa kituon au mkashirikiana na mliokua nao na ulinzi Wa eneo husika kuja kulia lia humu kma choko inakusaidia nini halafu baadae unabana pua wanaume Wa dar nyie Wa mikoani mmekalia uoga tu wangekuchukua na wewe wakakulainishe na kohozi LA matako shwaini wewe

Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
 
Katika mji wa USHIROMBO club ya muziki inayotesa na kutamba inaitwa WADUTYA CLUB iliyo mjini karibu na stand kuu ya mabasi hapa USHIROMBO,

Ratiba za club hii kama nijuavyo IJUMAA zinapigwa nyimbo za kale maarufu kama BAKURUTU maalumu kwa wazee na siku ya JUMAMOSI ni siku ya DISCO maalumu kwa vijana,

Leo Ile kufika mida ya saa 4:37 usiku nilikuwa nimeshafika wadutya.
Nikamkuta mdada mmoja amebeba mfuko uliokuwa una chipsi mayai huku akiwa na fanta orange ya take away,Huku kichwani pombe zikiwa zimemkolea nikamtania kuwa naomba chipsi nile akakubali nikawa kama namsifia kuwa ana roho nzuri akawa anacheka cheka tu maskini wa Mungu , kisha akaingia ndani ya ukumbi ,

Punde si punde vijana waliokuwa kwenye boda boda kama 5 hivi wakaanza kumiminika muda sio mrefu wakaingia ukumbini wakamtandika binti wa watu makofi kisha wakamtoa nje kwa nguvu huku binti akiwa analia kwa uchungu wakampakia kwenye pikipiki wakatokomea nae kwenda KUMBAKA ,

Aisee inasikitisha sana naomba serikali na jeshi la polisi hapa ushirombo muifungie club ya wadutya jumla kutokana na mambo yanayotendeka ya ubakaji tena hadharani binafsi nimechukizwa sana na hili jambo na kwa kweli upuuzi walioufanya hao vijana utawagharimu maisha yao yote,

Binafsi nimekereka vilivyo na sitaki kuamini kuwa jeshi la polisi halijui yanayotendeka kwa kuwa rekodi na matukio kama haya wanajua yanatokea sijui kusudi lao ni lipi , ama kweli tunapoelekea Shetani mwenyewe anajua.
Kwa hiyo umekula chipsi ya bure bila msaada wowote.

Vanesa Mdee yuko sahihi, wewe ni dume suruali.
 
Back
Top Bottom