Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Club ya kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club ni moja kati ya vilabu vichache Afrika vinavyowania kuwa wawakilishi wa bara hili katika mashindano ya kombe la dunia la vilabu mwaka 2025
Horaya nao wanacheza CAF CL msimu huu?Ulisoma vigezo vyote ukavielewa?
Kuna nafasi nne, nafasi tatu zitachukuliwa na timu mabingwa ambapo Al Ahly na Wydad tayari wamefuzu bado nafasi moja ya bingwa wa msimu huu.
Timu zote 16 ambazo zinacheza hatua ya makundi kwasasa zote zinawania nafasi ya kucheza kombe la dunia 2025.
Kisha kutakuwa na nafasi moja ya kuchukua upande wa ranking, ambapo itachukuliwa timu ambaye sio bingwa ila mwenye rank kubwa kwenye CAF kuliko wengine
Horoya hawezi cheza hayo mashindano kwasababu point zao ni ndogo na hawana uwezo wa kuongeza point, kama ilivyo kwa Raja na Kaizer chief piaHoraya nao wanacheza CAF CL msimu hyu?
Lakini Yanga ambaye hapo hayupo ndio hana uwezo kabisa nafuu ya HoroyaHoroya hawezi cheza hayo mashindano kwasababu point zao ni ndogo na hawana uwezo wa kuongeza point, kama ilivyo kwa Raja na Kaizer chief pia
Yanga hayupo wapi? Kwani Yanga katolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa?Lakini Yanga ambaye hapo hayupo ndio hana uwezo kabisa nafuu ya Horoya
Nioneshe Yanga kwenye hii list namimi nitakuonesha Shabiki wa Yanga mwenye akiliYanga hayupo wapi? Kwani Yanga katolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa?
Lakini Yanga ambaye hapo hayupo ndio hana uwezo kabisa nafuu ya Horoya
Kumbe inapofikia swala la Simba na Yanga akili zinakutoka kiasi kwamba hata jambo lililowazi haulielewi. Hiyo iliyowekwa hapo sio kwamba ndio lazima itakuwa hivyo ilivyowekwa bali kutakuwa kuna mabadiliko kulingana na timu zitakavyo perform kwenye CAFCL. Kama tukitumia kwa dhana iliyowekwa hapo inamaana inatafutwa timu moja tu ambaye ni bingwa mpya wa CAF champions league kwasababu tayari kuna nafasi tatu ambayo ni Wydad, Al Ahly na Mamelod ambaye ndiye anayesimama upande wa kuwa juu kwenye upande wa rank.Nioneshe Yanga kwenye hii list namimi nitakuonesha Shabiki wa Yanga mwenye akili
View attachment 2852056
Mbona maelezo yamekuwa mengi kama utetezi wa mshika hazina baada ya kula hela za wanachama?Kumbe inapofikia swala la Simba na Yanga akili zinakutoka kiasi kwamba hata jambo lililowazi haulielewi. Hiyo iliyowekwa hapo sio kwamba ndio lazima itakuwa hivyo ilivyowekwa bali kutakuwa kuna mabadiliko kulingana na timu zitakavyo perform kwenye CAFCL. Kama tukitumia kwa dhana iliyowekwa hapo inamaana inatafutwa timu moja tu ambaye ni bingwa mpya wa CAF champions league kwasababu tayari kuna nafasi tatu ambayo ni Wydad, Al Ahly na Mamelod ambaye ndiye anayesimama upande wa kuwa juu kwenye upande wa rank.
Je unaweza kuniorodheshea timu zinazowania ubingwa wa CAF champions league msimu huu au hujui kama moja ya tiketi ya kushiriki hiyo michuano ni kubeba ubingwa wa CAFCL?
We jamaa ni CHIZI? Husomi heading hapo juu? Timu hizo ni zile ambazo zinaweza zisichukue kombe lkn zinaweza kushiriki hiyo michuonao kutokana na Point. Na zipo ambazo ni lazima zichukue Kombe la Klabu Bingwa ndipo zishiriki hiyo michuano. Kwahiyo TP MAZEMBE au YANGA wakichukua UBINGWA hawatoshiriki hiyo michuano?? Una akili timamu wewe???Nioneshe Yanga kwenye hii list namimi nitakuonesha Shabiki wa Yanga mwenye akili
View attachment 2852056
Jamaa yupo njema kichwani ila kwenye suala la yanga na simba anakua mpumbavuWe jamaa ni CHIZI? Husomi heading hapo juu? Timu hizo ni zile ambazo zinaweza zisichukua kombe lkn zinaweza kushiriki hiyo michuonao kutokana na Point. Na zipo ambazo ni lazima zichukue Kombe la Klabu Bingwa ndipo zishiriki hiyo michuano. Kwahiyo TP MAZEMBE au YANGA wakichukua UBINGWA hawatoshiriki hiyo michuoano?? Una akili timamu wewe???
Mbona maelezo yamekuwa mengi kama utetezi wa mshika hazina baada ya kula hela za wanachama?
Yani timu iliyoshimdwa kufikisha pointi 30 ina ndoto ya kushiriki World Cup kwa kuchukua ubingwa CAF Champion league?
Ebu niambie we mwenyewe hujacheka hapo?
Ukielewa maana ya neno Kolo au dunduka hilo halitokupa taabu.Kwahiyo wewe umeona Yanga kuchukua ubingwa umeona haliwezekani, ila Simba kufikisha point kuizidi point za Mamelod au Es Tunis kwa gap ya point 30+ ukaona linawezekana? Yaani usimba na Uyanga unakutoa uwezo wa kufikiria kabisa.
Mamelod nae ameshafuzu.Ulisoma vigezo vyote ukavielewa?
Kuna nafasi nne, nafasi tatu zitachukuliwa na timu mabingwa ambapo Al Ahly na Wydad tayari wamefuzu bado nafasi moja ya bingwa wa msimu huu.
Timu zote 16 ambazo zinacheza hatua ya makundi kwasasa zote zinawania nafasi ya kucheza kombe la dunia 2025.
Kisha kutakuwa na nafasi moja ya kuchukua upande wa ranking, ambapo itachukuliwa timu ambaye sio bingwa ila mwenye rank kubwa kwenye CAF kuliko wengine
Labda Simba Wanyika lakini sio Simba hii ya kupigwa 5 na kushindwa kumfungs KMC.Club ya kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club ni moja kati ya vilabu vichache Afrika vinavyowania kuwa wawakilishi wa bara hili katika mashindano ya kombe la dunia la vilabu mwaka 2025
View attachment 2851965