Clouds TV kuchukuliwa hatua, TCRA wakiri kupokea Malalamiko

Hata ya mh Kitwanga tulisikia kauli kama hizi.

Hii ya clouds tv haikutokea tu, kumbuka huko londoni kulikuwa na gweride la fahari ya mashoga.

Lakini nilishindwa kuelewa kwa nini hapa JF nao waliweka ile clip ya clouds tv kwenye uzi ule wa malalamiko. Hawa watu wamejipanga.
 
Pung'a limeachwa linatamba tu pale studio likijisifia ubwabwa wake. Niliona zile 5Ps za marketing ya biashara ya ushoga kwenye luninga ya Clouds. Only in Tanzania, ingekuwa Uganda kwa Museven pung'a lingekuwa linasubiriwa nje na chombo cha dola. Hii TV inabebwa na viongozi wetu
Kipindi Ni recorded mkuu! Ingekua live sawa
 
TCRA wanasema watashughulikia malalamiko yalowasilishwa kwao na Kamati ya Maudhui italeta mrejesho, koo iweni na subra mlokuwa mnawalalamikia Mawingu Tv kwa kupromote ushoga
View attachment 361524
Mbona hawakumkamata yule mwandishi wa habari aliyeenda kumuhoji omba omba wakati walishapewa order ya kuondoka? Au hii imekaaje
 
hivi karibuni TCRA walivipiga faini vituo vya EATV na EFM, adhabu ya EATV ilitokana na kucheza video ya wimbo "panya" ya wasanii Bracket wa Nigeria, ambapo TCRA walisema video hiyo ipo kinyume cha maadili, kwa upande wa EFM kama sikosei adhabu yao ilitokana na maudhui ya mada fulani katika moja ya vipindi vyao. kwa MUNGU haya mambo yaliyotokea Clouds tv ni dhambi, TCRA wachukue hatua bila upendeleo.
 
Jamani huenda siyo kosa, kwani hata aliye hoji shoga alimwambia baby wa mawingu TV kuwa hata yeye yuko kwenye mfungo!!? Kwa hiyo haoni kama ni tatizo kumhoji shoga!! Binafsi nimebakia kinywa wazi. Ninashaka fedha za ulaya kwa ajili ya promo zimemwagwa, hii si kawaida kabisa!!!?
 
Wafungiwe tu. Yaani mimi nilishangaa sana, ndio shida ya kuwa na Producer, Director and editor mtu mmoja. This was so unproffesional, maana am sure kungekuwa na a team hapo, wange argue kuwa hii itawacost. Ila kwa vile host ni chakula ya boss, basi vinaenda tu. Yaani hawa wafungiwe kabisaaa, waombe radhi watanzania.
Tatizo bongo movie hakuna story, the poor lady anakosa material za kushow hence anakimbilia ma bwabwa. Hakuna siku clouds ime degrade manhood kama walivyorusha hio show yao. Tena saa tatu watoto wako macho, pia angalau wangeweka rating ya 18+ ila lah hasha. Ya chura mmefungia dada wa watu mpaka naona kakata tamaa, mkiachia hii. Nitaona na nyie ni clouds tu. Yaani inabidi watu hawa wakemewe nyie mnawaonyesha claiming ni victims wa malezi mabaya.... STUPID
 
Zama bwana eti ushoga umezidi,kwa taarifa yake ushoga ulikuwepo na sasa hivi anaona umezidi kwa sababu ya mitandao tu,connection imekuwa easy,asifikiri jamii hatujui kuwa ushoga upo,wala hakukuwa na ulazima wa yeye kumpa promo shoga kwa kisingizio eti anatuhabarisha,yaani ujinga sana huu,kisa analala na bosi basi anarusha rusha tu ushoga
 
TCRA wanasema watashughulikia malalamiko yalowasilishwa kwao na Kamati ya Maudhui italeta mrejesho, koo iweni na subra mlokuwa mnawalalamikia Mawingu Tv kwa kupromote ushoga
View attachment 361524

Wamechelewa sana kuwaadabisha Clouds tv na hata Clouds fm kutokana na maudhui yao. Ningeshauri tu kwakuwa TCRA wameshaonyesha kuwadekeza Clouds tv na fm na wanaodekezwa wameshavimba " mibichwa " yao wangewaachia tu waendelee kutamba kwani kama ni kuwasaidia TCRA juu hawa Clouds Media Group tumejitahidi mno ila tukadharaulika! Ingekuwa ni nchi inayojali ethics na ina Wasimamizi makini Clouds tv na fm zingekuwa ni historia hapa Tanzania.
 
Washikishwe adabu hawa hawana maadili kabisa kuanzia viongozi wao. Wanaruhusu kurushwa vipindi kwa jambo lililolaaniwa na mungu. Tangu waliposifiwa na Rais kile kipindi cha asubuhi 360 sasa wanajiona wanaweza kufanya lolote. Tcra chukueni hatua haraka wananchi tuna hasira hii Tv inatuharibia watoto wetu.
Hahahahaaaa
Wamelewa masifa ya mhe. JPM
 
Kwa hiyo wakiwafanya chochote ndio walivyo hao wenzetu wataacha hayo na kunyooka?
 
Huyo mtangazaji angeenda kuonyesha alikolitoa hilo pung'a. Limetamba sana pale Clouds linajisifia na kuhamasisha watu kuona yale maisha ni ya kawaida na ni mazuri
Na Si Mara ya kwanza kuna siku walialika Mashoga 3 kwenye kipindi cha radio clouds muda kidogo, nakumbuka shoga mmoja alisema "Mjusi hata umfanye nini hawezi kuwa Nyoka!"
 
Back
Top Bottom