Ingependeza kwa ajili ya vzazi vjavyo kuja kujifunza historia kwa lile tukio ambalo halijawahi kutokea ktk historia ya nchi yetu.Kadhalika mnara huo unaweza kuwa chanzo cha mapato kwa watalii wa ndani na wanasiasa vijana watakaopenda kutembelea maeneo ya kihistora.Karibu kwa mchango wa mawazo!